Mke HIV +,Mme HIV-.wananzengo Hebu tujadili hili.

Hapa kibamia kinahusika kwa 68%

Sent by Diaspora
 
Me nadhani alipata ukimwi baada ya kuzaa hao watoto
Labda na kwamba mr ni immune na kawarithisha watoto lakini hiyo ni 0.001% probability the rest ni kua kapata baada ya kuzaa hao watoto wote watatu


Sent using Jamii Forums mobile app
Dada yangu kazaa watoto wa 4 akiwa ni muathirika na mtoto wa kwanza alizaa mwaka 1997 kipindi hicho hata dawa hakua anatumia na mtoto hana maambukizi japo hakumnyonyesha mtoto kwasababu matiti yake yalitoka majipu. Haya mambo yapo kabisa wala sio hadithi za kutunga

Mkorintho wa 6
 

Duuh aisee anyway na ndio maana hua wanasema magonjwa ni zaidi ya yanavyoandikwa kwenye maandishi


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maambukizi ya HIV ni kupotia damu tu. Hivyo kama mkifanya mapenzi msipate michubuko hakuna maambukizi ya HIV.

Hivyo kwa hao wanandoa kuna mawili, mke anayo kubwa na wakati wanafanya tendo la ndoa hawakuweza kupata michubuko au mme ana kibamia ina maana pia hawakuweza kupata michubuko kutokana na maumbile ya mme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap miaka ya 2000 mwanzaoni mama angu aliwai simamia harusi kama matroni..baada ya miaka minne mume alianza ugua HIV mpaka ikampelekea kufa kwakwe..yule mama alikuwa anaenda pima clinic kila akienda anahambiwa ana akawa aamini amepima kila sehemu ana maambukizi...na pia wapo kina mama wawili nnawajua kwani ni family friends waume zao tumeshazika lakini wake zao wapo HIV- ..nna jamaa angu pia aliachanaga na mkewe ambae waliishi ktk ndoa kwa miaka 4 na kubahatikakupata watoto 2. mtoto wao wa maika 12 november 2018 alikuwa anaumwa kama vile ana alegy akapimwa akakutwa ni HIV+ inaonekana watoto walizaliwa nao kutoka kwa mama..so huyu jamaa angu aliishi na my wife wake for about 5 yrs toka uchumba,kuoana na kuzaa mke akiwa mwathirika....jamaaa yupo amepima ni Negative anakula nyagi zake kama kawa
 
Hizo cases ni nyingi sana, miaka ile ya nyuma ndio tulikua tunawaita "careers" ( japo sidhani kama ilikua sahihi). Haya mambo bhana ni magumu na kuna wale wengine ukianza dawa tu ndio mwisho wa habari yako. inaishia hapo hapo.
Kwenye HIV hakuna careers mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…