Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nuclear receptors kwenye cellKupata HIV ni mpaka cell receptors zipokee virus.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nuclear receptors kwenye cellKupata HIV ni mpaka cell receptors zipokee virus.
Mwanamke huwenda alishajua kitambo akaanza kutupia dawa kimya kimya na hizo ndizo zimesaidia Mr wake asipate maambukizi.
Hapa kibamia kinahusika kwa 68%Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo inamaanisha Mwanaume alikutana na huyu mwanamke. Mwanamke alikuwa tayari ni HIV +.Miaka 10 wameishi. Mwanaume hajaambukizwa. Hebu tudiscuss hili wataalam wa afya.
Dada yangu kazaa watoto wa 4 akiwa ni muathirika na mtoto wa kwanza alizaa mwaka 1997 kipindi hicho hata dawa hakua anatumia na mtoto hana maambukizi japo hakumnyonyesha mtoto kwasababu matiti yake yalitoka majipu. Haya mambo yapo kabisa wala sio hadithi za kutungaMe nadhani alipata ukimwi baada ya kuzaa hao watoto
Labda na kwamba mr ni immune na kawarithisha watoto lakini hiyo ni 0.001% probability the rest ni kua kapata baada ya kuzaa hao watoto wote watatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Sky Eclat Acid reflux na tooth and gum's infection zinaweza kusababisha lymph nodes shingoni?
Tunahitaji ufafanuzi mkuuKupata HIV ni mpaka cell receptors zipokee virus.
Dada yangu kazaa watoto wa 4 akiwa ni muathirika na mtoto wa kwanza alizaa mwaka 1997 kipindi hicho hata dawa hakua anatumia na mtoto hana maambukizi japo hakumnyonyesha mtoto kwasababu matiti yake yalitoka majipu. Haya mambo yapo kabisa wala sio hadithi za kutunga
Mkorintho wa 6
Maambukizi ya HIV ni kupotia damu tu. Hivyo kama mkifanya mapenzi msipate michubuko hakuna maambukizi ya HIV.Jamani wataalam wa afya,nimeletewa case hii. Mke na mme wamepima HIV. Mke positive ila mme negative.Yaani tokea waoane miaka kumi iliyopita mke alikuwaga hataki kabisa kwenda Clinic. Hivyo inamaanisha Mwanaume alikutana na huyu mwanamke. Mwanamke alikuwa tayari ni HIV +.Miaka 10 wameishi. Mwanaume hajaambukizwa. Hebu tudiscuss hili wataalam wa afya.
It's true wakati wa ujauzito 70% wanatest positive
Kwenye HIV hakuna careers mkuu.Hizo cases ni nyingi sana, miaka ile ya nyuma ndio tulikua tunawaita "careers" ( japo sidhani kama ilikua sahihi). Haya mambo bhana ni magumu na kuna wale wengine ukianza dawa tu ndio mwisho wa habari yako. inaishia hapo hapo.