Mke HIV positive anahitajika

Mke HIV positive anahitajika

Tuwe makini sana na kauli zetu. Unyanyapaa ni mambo yaliyopitwa na wakati. Wewe unayebeza umepima?
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji mwanamke aje kuwa mke wangu wa maisha mwenye hali kama yangu.
*Sifa zangu ni..
1. Mwajiriwa na nimejiajiri ili kuongeza kujikimu zaidi.
2. Mrefu wa wastani
3. Rangi maji ya kunde.
4. Umri miaka 29.
5. Elimu chuo kikuu.

*Mwanamke/Mke ninaye-muhitaji
1. Mrefu wastani/umbo la wastani
2. Awe mtafutaji
3. Umri 20-31
4. Asiwe na mtoto
5. Awe mwelewa na mwerevu.
6. Mcha Mungu
7. Elimu form 4 na kuendelea
Karibu P.M kwa mwenye utayari na uhitaji wa mume tuanze maisha yetu mapya.
Karbu
 
Pamoja na hali ulonayo bado huyo mke masharti kibao kama mganga wa kienyeji,aya kila la kheri.
 
Back
Top Bottom