Mke huyu ni balaa jamani!

Mke huyu ni balaa jamani!

Nilimuuliza kama ana udhaifu gani ambao mkewe huwa anaulalamikia mara kwa mara, yeye akadai kuwa yeye ni chakaramu sana na anapenda sana kujichanganya na watu wa rika zote, wake kwa waume kitu ambacho mkewe hapendi na kinamkera........... Ni kweli, jamaa anayo tabia hiyo kwa kuwa mimi ni rafiki yangu wa muda mrefu, namfahamu kitabia. sina uhakika kuhusu kuisaliti ndoa yake kwa sababu siko karibu naye saaana kama zamani kabla hajaoa.


Kuna wakati anadai mkewe alimwambia waziwazi kuwa anajisikia hayuko salama katika ndoa yake kutokana na tabia yake ya uchakaramu na kujichanganya na watu wakiwemo wanawake na wanaume...................na yeye anadai hawezi kuiacha tabia hiyo kwa sababu ameshazoea kucheka na watu bila ubaguzi.

mtambuzi , kawaida mtu huwa hajitambui katika jambo ambalo yeye anaamni yuko sahihi , hivyo inaonekana tayari mkewe aligundua kutokuwepo na uchangamfu kati yake na mmewe hivyo tayari alishaanza kutoa rai na pia kuonyesha kutokupendelea hali hiyo ... kutokana na hali hiyo mkewe inaonyesha tayari alijiweka kwenye hali ya unyonge na kuamini huo uchangamfu hauko sahihi hivyo alianza kutkuwa na imani na mwenza wake,.
na kwa kuwa mke alikuwa anajua ndoa ilikuwawepo kwa sababu ya ujauzito ndo maana tayari alianza kujiandaa na pia akajenga kiburi kwa kuonahali ya mwenza haiko sawa
 
asikudanganye kuwa wanaume ndio tunatakiwa kuleta chakula nyumbani bali hata yy anawajibika ndio maana Biblia inasema asiyefanya kazi na asile, pia inaelezea kuwa mwnamke ana wajibu wa kuilisha familia yake kama ilivyo kwa mwanaume.

Kuhusu kuhamisha watoto fanya hivyi

1. waandikishe watoto katika shule nzuri ambayo inaendana na kipato chako;
2. ongea na mwalimu mkuu wa shule kuwa huyo mtoto asihamishwe na mtu yeyote ikiwomo mke wako isipokuwa ww pekee. yaani uhamisho uwe unafanywa na ww
3. kuhusu kupenda maisha ya juu, mwambie yy ni kikwazo cha maendeleo ya familia ndio maana biashara yake haichangii chochote katika pato la familia
4. mwambie aache uvivu wala hakuna uchawi kwa mtu anayemcha Mungu, kama hajaokoka mwambie aokoke na aache visingizio na afanye biashara kwa bidii
ANGALIZO: Kama hana skills za biashara nashauri apeleke ili akapewe maarifa ya jinsi ya kufanya biashara na kufanikiwa

5. kulinganisha na wengine: mwambie kila mtu anafanikiwa kwa wakti wake, wakati wako utafika ikiwa na yy atashiriki kufanya biashara na kuchangia pato la familia kwa bidii. Pia Mungu anasema mtu akijilinganishe na mwingine hana akili na pia mwambie sio kila aliyeenunua gari ametumia fedha za halali wengine ni wezi, wauza dawa za kulevya na mafisadi a kutisha

nadhani niwaache wengine waongezee nilyooacha

 
Loooo,hamna jinsi;ndio wameshaoana hivi;inabidi jamaa akomae kumfunda mkewe abadilike;maana huyo si mke ni mzigo!
 
mimi naamini mwanaume ndiye kichwa cha familia na ana uwezo kuifanya familia yake iwe bora katika maisha.isue ni kwamba mwanaume nilazima uwe na principle ambazo ctakufanya hata na mkeo aamini unaweza na c kulalamika kwa jambo ambalo liko wazi na hata ww unaona...hii nikama kujitia kitazi mwenye,kaa na mke wako mueke wazi na akubali kuishi maisha ambayo yako ndani ya uwezo wenu na c kutaka miasha ya juu wakati uwezo hamna.
 
peleka watoto shule za kulala hukohuko hlf nunua debe 3 za dagaa na unga wa dona la kutosha AKIKUULIZA KWANINI MWAMBIE HUNA HELA KAMA MBWAI BWAI BWANA mke atakutesaje hivyo
 
Duuu...huyo ni kati ya wale wanawake ambao biblie inawaita "wapumbavu" na huibomoa nyumba kwa mikono yao wenyewe!

Lakini, pia huyo jamaa naye kamuendekeza mkewe, anampa kila kitu ndo maana anamfanyia hivyo. Anakuwa mkali kidogo, huwezi ukatoa 200,000, halfu baada ya wiki, eti zimeisha....wewe una kiwanda cha kutengeneza pesa....mhhhh!!!!????? Anafanya hayo yote ni kwasababu ndivyo alivyojengea tabia hiyo! POLE ZAKE.
 
Back
Top Bottom