Mke ka-'confess' jamaangu kachanganyikiwa...

Mke ka-'confess' jamaangu kachanganyikiwa...

Kwa hali ilivyo, nafikiri jamaa yako amsamehe mkewe tu..after all hajui kama mtoto ni wa kwake yet. Plus bila mkewe ku-confess, angeweza kujifungua still akajua mtoto ni wake tu. Kupotezea ni ngumu but it seems to be the only choice for now

Alternatively, kama atajisikia vibaya kulea mtoto asiye wa kwake, basi asubiri mkewe ajifungue, wakapime DNA...kama ikigundulika mtoto ni wake, waendelee kuishi pamoja na wawe na mapenzi yasiyokuwa na kudanganyana. Kama ikigundulika si wake, then, waachane kwa talaka tu coz hataishi kwa amani na huyo mwanamke.
 
Yeye kabla ya kusamehewa na mkewe, mkewe alienda kumuomba nani ushauri?
 
Aliyeuza cheni kauza ya bandia na aliyetoa hela katoa noti feki...Ngoma droo ...
 
Mkuu maybe intentionally au unintentionally umeamua kutokuelewa what I said...

Mkuu ni kweli ukipenda mtu hautataka kumuumiza lakini (in the mind of cheaters) people don't cheat wakitegemea watashikwa, wanadhani wata-get away with it.. kwahiyo in their heads ni kwamba watapata good time at the same time mwenza wao hatajua hence hataumia... (people cheating don't intentionally hurt their partners.., hurt ni outcomes ya kushikwa kwao)

Bado sielewi mantiki ya kumpenda mtu halafu nyuma ya mgongo wake kumfanyia mabaya. Kwangu mimi mapenzi ya kweli ni yale yaliyotawaliwa na uwazi na ukweli.

Na ukisema "people cheating don't intentionally hurt their partners" kwangu ni hogwash. Cheating is a premeditated act. Before one even engages in it, he or she already knows the harmful effects it has on his or her partner. A premeditated act is an intended act. So how can you say people who cheat don't intend to hurt their partners?

If you love someone then you will make sure you don't do anything that will hurt them, be it overtly or covertly. That is what is called "TRUE LOVE". Anything short of that is a sham.
 
Bado sielewi mantiki ya kumpenda mtu halafu nyuma ya mgongo wake kumfanyia mabaya. Kwangu mimi mapenzi ya kweli ni yale yaliyotawaliwa na uwazi na ukweli. Na ukisema "people cheating don't intentionally hurt their partners" kwangu ni hogwash. Cheating is a premeditated act. Before one even engages in it, he or she already knows the harmful effects it has on his or her partner. A premeditated act is an intended act. So how can you say people who cheat don't intend to hurt their partners? If you love someone then you will make sure you don't do anything that will hurt them, be it overtly or covertly. That is what is called "TRUE LOVE". Anything short of that is a sham.
Watu wengi wanakua pamoja kupoteza na kupotezeana muda tu hamna cha mapenzi wala nini.
 
WanaJF kama kawaida hii ndio kona yetu ya kubadilishana mawazo. Leo kuna jamaa yangu yamemkuta makubwa..Ni hivi: Anaye mke wake mjamzito wameishi pamoja sasa karibu miaka mitano.Mwanzoni mwa ndoa yao kiukweli jamaa yangu alikuwa hajatulia, waliendelea kuzinguana hivyo mpaka juzi kati nadhani mwezi wa nne ambapo jamaa yangu aliamua ku'confess' mabaya yote ambayo aliyafanya na kwa kweli bila kutegemea mke wake alimsamehe na kumuahidi upendo ilimradi tu yasijitokezee tena.Na jamaa yangu alimuombia mkewe ku'confess' kama alishawahi kumtenda..lahaulah..lakwata hapo ndo jamaa kabaki hoi bin taaban. Yaan mke wake huku akilia alimuambia kuwa ..aliamua kutembea na jamaa yake wa zamani baada ya kuona mshkaj anamzingua na hana uhakika kama hata hiyo mimba kama ni yake maana aki-backdate tarehe zinagongana na zile alizodate na Jamaa wa nje??..Amemuomba mume wake wasameheane waendelee kama kawaida..kwamba mbona yy kamsamehe..mshkaj kamuambia subiri....
jamaa kaja kuniomba ushauri..na mimi naomba kuwashirikisha wanaJF tumshaurije huyu mkuu??

Hakuna kesi hapo! Ukipanda bangi huwezi vuna pili pili, cha muhimu akapime UKIMWI na asubirie mtoto wake azaliwe.
 
Na ukisema "people cheating don't intentionally hurt their partners" kwangu ni hogwash. Cheating is a premeditated act. Before one even engages in it, he or she already knows the harmful effects it has on his or her partner. A premeditated act is an intended act. So how can you say people who cheat don't intend to hurt their partners? .
When does the "HURT" occur is it when the partner engages in the act or is it when the other partner finds out.. If its the latter then if the person doing the Act in his mind thinks his/her significant other will never find out then the intention is not to hurt (as you know what you dont know does not hurt you) if anything we can say the gentleman or the lady is guilty of unfaithfulness or stupidity (thinking he/she will never get caught) but not lack of love...

If you love someone then you will make sure you don't do anything that will hurt them, be it overtly or covertly. That is what is called "TRUE LOVE". Anything short of that is a sham

Of course this Gentleman/lady is doing everything not to hurt the other that's why he/she is doing everything not to get caught.. we can call this as selfishness but not lack of love

Now the definition of Love being True of False thats a different situation entirely you cant tell me just because of stupidity or unfaithfulnessh these people are not able or are not having the feelings defined from what we know as LOVE (or call it Untrue)....

Love...:-

  1. A deep, tender, ineffable feeling of affection and solicitude toward a person, such as that arising from kinship, recognition of attractive qualities, or a sense of underlying oneness.
  2. A feeling of intense desire and attraction toward a person with whom one is disposed to make a pair; the emotion of sex and romance.
 
When does the "HURT" occur is it when the partner engages in the act or is it when the other partner finds out..

One can't find out without occurence.

If its the latter then if the person doing the Act in his mind thinks his/her significant other will never find out then the intention is not to hurt (as you know what you dont know does not hurt you) if anything we can say the gentleman or the lady is guilty of unfaithfulness or stupidity (thinking he/she will never get caught) but not lack of love...

What you don't know doesn't hurt you? I don't fully subscribe to that notion.

Of course this Gentleman/lady is doing everything not to hurt the other that's why he/she is doing everything not to get caught.. we can call this as selfishness but not lack of love

Being discreet usually is for covering your own ass and NOT because they don't want their partners to get hurt. If you don't want to hurt your partner just don't cheat, period.

Now the definition of Love being True of False thats a different situation entirely you cant tell me just because of stupidity or unfaithfulnessh these people are not able or are not having the feelings defined from what we know as LOVE (or call it Untrue)....

Now you are talking out of both sides of your mouth. Being unfaithful to your partner is not loving your partner for if you love him or her you will be faithful.
 
Mwambie asijishaue kama yeye ndio ameumia sana na mkewe alikuwa na moyo wa chuma! Mwosha huoshwa.
 
Back
Top Bottom