yes kwa yule alienipenda sana,
..wasiwasi wake ni itakapogundulika mimba siyo yake..
Unaujua upanga ukatao kuwili.
Mkuu maybe intentionally au unintentionally umeamua kutokuelewa what I said...
Mkuu ni kweli ukipenda mtu hautataka kumuumiza lakini (in the mind of cheaters) people don't cheat wakitegemea watashikwa, wanadhani wata-get away with it.. kwahiyo in their heads ni kwamba watapata good time at the same time mwenza wao hatajua hence hataumia... (people cheating don't intentionally hurt their partners.., hurt ni outcomes ya kushikwa kwao)
Watu wengi wanakua pamoja kupoteza na kupotezeana muda tu hamna cha mapenzi wala nini.Bado sielewi mantiki ya kumpenda mtu halafu nyuma ya mgongo wake kumfanyia mabaya. Kwangu mimi mapenzi ya kweli ni yale yaliyotawaliwa na uwazi na ukweli. Na ukisema "people cheating don't intentionally hurt their partners" kwangu ni hogwash. Cheating is a premeditated act. Before one even engages in it, he or she already knows the harmful effects it has on his or her partner. A premeditated act is an intended act. So how can you say people who cheat don't intend to hurt their partners? If you love someone then you will make sure you don't do anything that will hurt them, be it overtly or covertly. That is what is called "TRUE LOVE". Anything short of that is a sham.
WanaJF kama kawaida hii ndio kona yetu ya kubadilishana mawazo. Leo kuna jamaa yangu yamemkuta makubwa..Ni hivi: Anaye mke wake mjamzito wameishi pamoja sasa karibu miaka mitano.Mwanzoni mwa ndoa yao kiukweli jamaa yangu alikuwa hajatulia, waliendelea kuzinguana hivyo mpaka juzi kati nadhani mwezi wa nne ambapo jamaa yangu aliamua ku'confess' mabaya yote ambayo aliyafanya na kwa kweli bila kutegemea mke wake alimsamehe na kumuahidi upendo ilimradi tu yasijitokezee tena.Na jamaa yangu alimuombia mkewe ku'confess' kama alishawahi kumtenda..lahaulah..lakwata hapo ndo jamaa kabaki hoi bin taaban. Yaan mke wake huku akilia alimuambia kuwa ..aliamua kutembea na jamaa yake wa zamani baada ya kuona mshkaj anamzingua na hana uhakika kama hata hiyo mimba kama ni yake maana aki-backdate tarehe zinagongana na zile alizodate na Jamaa wa nje??..Amemuomba mume wake wasameheane waendelee kama kawaida..kwamba mbona yy kamsamehe..mshkaj kamuambia subiri....
jamaa kaja kuniomba ushauri..na mimi naomba kuwashirikisha wanaJF tumshaurije huyu mkuu??
Watu wengi wanakua pamoja kupoteza na kupotezeana muda tu hamna cha mapenzi wala nini.
When does the "HURT" occur is it when the partner engages in the act or is it when the other partner finds out.. If its the latter then if the person doing the Act in his mind thinks his/her significant other will never find out then the intention is not to hurt (as you know what you dont know does not hurt you) if anything we can say the gentleman or the lady is guilty of unfaithfulness or stupidity (thinking he/she will never get caught) but not lack of love...Na ukisema "people cheating don't intentionally hurt their partners" kwangu ni hogwash. Cheating is a premeditated act. Before one even engages in it, he or she already knows the harmful effects it has on his or her partner. A premeditated act is an intended act. So how can you say people who cheat don't intend to hurt their partners? .
If you love someone then you will make sure you don't do anything that will hurt them, be it overtly or covertly. That is what is called "TRUE LOVE". Anything short of that is a sham
When does the "HURT" occur is it when the partner engages in the act or is it when the other partner finds out..
If its the latter then if the person doing the Act in his mind thinks his/her significant other will never find out then the intention is not to hurt (as you know what you dont know does not hurt you) if anything we can say the gentleman or the lady is guilty of unfaithfulness or stupidity (thinking he/she will never get caught) but not lack of love...
Of course this Gentleman/lady is doing everything not to hurt the other that's why he/she is doing everything not to get caught.. we can call this as selfishness but not lack of love
Now the definition of Love being True of False thats a different situation entirely you cant tell me just because of stupidity or unfaithfulnessh these people are not able or are not having the feelings defined from what we know as LOVE (or call it Untrue)....
..riwaya za nchi ya kusadikika!
Ngoja nianzishe thread kutafuta mtu wa kupotezeana nae muda.I like your style. You mince no words in stating your opinions.
Ngoja nianzishe thread kutafuta mtu wa kupotezeana nae muda.
It gud if u keep your assumption by youself!Nakubaliana na wewe mkuu, hii ni komplitili faburiketedi stori. Haina ukweli ndani yake hata kidogo.
It's gud if u keep your assumption by youself!Nakubaliana na wewe mkuu, hii ni komplitili faburiketedi stori. Haina ukweli ndani yake hata kidogo.