Mke kama huyu anatufundisha nini na tatoo yake

Mke kama huyu anatufundisha nini na tatoo yake

mi naonaa tatoo sio tatizo la maadili mabovuuu jamani,je kwa upande wa baba mwenyee tatoo za kutoshaaa?je yeye atawafundishaa wakwee ninii?binafsi na tatoo kamaa 15 mwilini,na nilichoraa kipindi cha miaka 14 iliyo pitaa now na mkee na watoto watatu,still na ishi nao kwa maadili,ilaa ninapo fikiriagaa naonaa nilikoseaa sanaaa kuchoraa tatoo mwilini wangu si feel confortable kuvuaa shat mbele ya watoto,maana nina mitatoo ya kutishaaa.

Kweli ujana majaribio. . .
Ubaya wake ni kwamba ngozi inavyozeeka ndivyo nazo zinavyopoteza mvuto.
 
haitaji kukufundisha chochote. Kama hukufundishwa na wazazi wako huwezi fundishwa na mtu humjui hakujui.

Kila mtu anaishi maisha atakavyo na apendavyo vile uishivyo wewe usitakekila mtu awe hivyo!!!!!

Halafu hiyo tattoo haipo sehemu nyeti!!!
Mwisho mwili ni wake , yey na mumewe ndo wenye ana mamlaka juu ya mwili huo. Mwanaume mwenzio kaiona hiyo tattoo still kampenda kamuoa who are you kumjudge?
 
Naskia hiyo tatoo ndo iliyofanya Kevin ampende na kumuoa.
 
demu wangu ana tatoo ya elufi za jina langu..kila nikimuuliza kuhusu hiyo tatoo(naipenda sana) anadai eti ulikua utoto unamsumbua sasa hivi hawezi kufanya kitu kama hicho.
 
baadhi ya wanaume weusi sijui wana matatizo gani,kwani we unaoa tatoo au na mpaka unaoa unahitaji kufundishwa nini ambacho wazazi wako hawajakufundisha:rain:

unakaa kwa KOPA au MANJUNJU?

 
mimi umri wangu ni miaka 79 na nimeishi huko majuu miaka 30 wabongo wenzangu wote niliyokuwa naishi nao wote walikuwa na tatoo na walipofika uzeeni wote walitumia pesa nyingi kuzifuta kwa lazer kwa pesa nyingi sana , kwahiyo kabla hujaweka tatoo THINK TWICE
 
Back
Top Bottom