mi naonaa tatoo sio tatizo la maadili mabovuuu jamani,je kwa upande wa baba mwenyee tatoo za kutoshaaa?je yeye atawafundishaa wakwee ninii?binafsi na tatoo kamaa 15 mwilini,na nilichoraa kipindi cha miaka 14 iliyo pitaa now na mkee na watoto watatu,still na ishi nao kwa maadili,ilaa ninapo fikiriagaa naonaa nilikoseaa sanaaa kuchoraa tatoo mwilini wangu si feel confortable kuvuaa shat mbele ya watoto,maana nina mitatoo ya kutishaaa.
baadhi ya wanaume weusi sijui wana matatizo gani,kwani we unaoa tatoo au na mpaka unaoa unahitaji kufundishwa nini ambacho wazazi wako hawajakufundisha:rain:
hee umejuaje ? na yule jamaa aliyekuwa ajawahi siku alipopata alipiga kelele mpaka barabara ya pili kuwa yule mwanamke kama iliyopimwa size yake wala haibani wala hakupata tabu kuwekaHaina makombo ile