Mke kama huyu Utaendelea nae kweli?

Mke kama huyu Utaendelea nae kweli?

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Mume na mkewe walikuwa kitandani asubuhi ya
leo.
MUME: Mke wangu leo ni siku ya wanawake ,
nifanye nini leo ili ufurahi maisha yako yote
yaliyobaki?
MKE: Kunywa sumu
 
Ameshakuwa mke halafu unauliza!!!!??????

Ili uandike tu duh kituko
 
Back
Top Bottom