Ni mke wa ndoa! sms ametuma nikiwa kazini wala sikuhangaika kuijibu maana angeweza kunieleza hilo ana kwa ana. Nakusikiliza ChapaaHuyo ni mke au hawara?! umesema alikutumia sms inamaana hamuishi pamoja? na kama mnaishi pa1 ulipomuuliza alikujibu nini?muongozo ndipo nione namna ya kukusaidia.
yaelekea mawasiliano kti yenu si mazuri na wote hamjuani tabia zenu vizuri.. kuna namna ya kuongea na m2 mzima tena kama mke kumbuka ulipaswa kumpa maelekezo sahihi ya namna gani awe anaparki gari huyo ni mwanamke mambo mengi hawatilii maanani so unaitajika kumpa mwongozo kwa njia nzuriBrother mke ni muhimu nakubali lakini kumwonya achukue tahadhari ndio imekuwa taabu. nimeupata ushauri wako nashukuru
Tatizo sio taa.tatizo ni kuwa hayuko concerned na assets zetu, hawajaibiki penye tatizo na mwepesi kuzira. nadhani umenipata vyema.mie nawasiwasi sio taa tu humuamini na hilo gari mpe uhuru alitumie atakavyo na kama anafundi wake mwachie.
nilimwambia mara moja na hiyo topic sijairudia tena hadi leo. na kwa alivyo nikiwa mpole sana ananikanyaga.
NK kwani wewe ni kila mke hapa duniani??Mke aonywi kaka anaelekezwa. Mpe ushauri wa jinsi gani anaweza kuepuka hilo tatizo lisijitokeze na usimuonye kwani unakuwa umemchukulia kama mtoto.
Mkuu, kama ulichoandika hapa ni kweli, hilo tatizo la gari ni cha mtoto. Upendo kati yenu ni kama Ghadafi na NTC... Sasa ukiweka order akatae unafanyaje?!huko ni mpaka kwa order, kila jioni anaumwa kichwa, mara kachoka mara hili mara lile.
NK kwani wewe ni kila mke hapa duniani??