Hivi huo ni utoot au ujinga? we ukitaka ujue hajazira, liondoe hapo home halafu mwambie umempa ndugu yako! Utaona reaction yake ndio utajua kama kweli kazira.... Ila akishamaliza kuzira umwambie akienda k'koo awe anatoa 500 tu kwa vijana wawe wanamlindia siku nzima, aache ubahili, anakuwa mbahili kama mimi jamani.
Tena namwambia ashukuru wewe unamaadili angekuwa mwanaume mwingine analichukua anaenda kumhonga small house yake, hata kama kuna demu alikuwa anamtaka akawekewa kigezo cha usafiri basi upenyo ndio huo...