clet 8 JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 1,127 Reaction score 322 Oct 22, 2011 #81 Mpotezeee asikupe hedeki bure.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,829 Reaction score 1,303 Oct 22, 2011 #82 Wapare wanasema Chathia....................Imekwisha hiyo siyo wako tena huyo
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Oct 22, 2011 #83 GAZETI said: Solution si kuweka ndani, hiyo gari amkabidhi HOUSE GIRL ili apime vizuri kina cha maji! Click to expand... duh.......... watu wamepinda
GAZETI said: Solution si kuweka ndani, hiyo gari amkabidhi HOUSE GIRL ili apime vizuri kina cha maji! Click to expand... duh.......... watu wamepinda
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,064 Oct 22, 2011 #84 NyaniMzee said: Rejao, hoja yangu si idadi ya magari. Gari si fahari kama zamani ni kitendea kazi tu. Hoja ni hiyo tabia ya kuzira anapokosolewa. Umekuwa too subjective. Nashukuru nimekuelewa. Click to expand... Lakini lazima kutakuwa na sababu nyingine..gari tu haliwezi kuwa ndio main reason. Jaribu kufanya uchunguzi zaidi.
NyaniMzee said: Rejao, hoja yangu si idadi ya magari. Gari si fahari kama zamani ni kitendea kazi tu. Hoja ni hiyo tabia ya kuzira anapokosolewa. Umekuwa too subjective. Nashukuru nimekuelewa. Click to expand... Lakini lazima kutakuwa na sababu nyingine..gari tu haliwezi kuwa ndio main reason. Jaribu kufanya uchunguzi zaidi.