Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh.......... watu wamepindaSolution si kuweka ndani, hiyo gari amkabidhi HOUSE GIRL ili apime
vizuri kina cha maji!
Lakini lazima kutakuwa na sababu nyingine..gari tu haliwezi kuwa ndio main reason. Jaribu kufanya uchunguzi zaidi.Rejao, hoja yangu si idadi ya magari. Gari si fahari kama zamani ni kitendea kazi tu. Hoja ni hiyo tabia ya kuzira anapokosolewa. Umekuwa too subjective. Nashukuru nimekuelewa.