nakwambia sibadili hata kama la Obama nini hao uliowaja,labda tu niwe nataka unilipie deni hapo ntabadili.
haya hii beijing sijui hatimayake nini kwahiyo kwa sababu ya kumjua ukubwani aiwezi kukusababisha utumie jina lake labda awe ana kulipia ada au mkopo siyo nzuri na wala siyo utu sasa where is the true love
WanaJF,
Nawatakia maandalizi mema ya V-Day. Naamini kila siku inatkiwa iwe ya kivalentine.
Ninatatizwa na suala tajwa hapo juu - Mke kubadili jina la ukoo(surname) baada ya kuolewa na kuchukua uko wa mumewe.
Kumekuwa na mabadiliko kwenye suala hili ...
1. wanawake wengine hawabadili kabisa yaani wanabaki na majina yao ya ukoo kama kabla hawajaolewa
2. wanawake wengine wanabadili kwa kuungisha majina yote mawili. mfano Mr. K. Ali ana mchumbia Miss. M. John baada ya kuolewa Mrs. L . John-Ali.
3. Wengine wanaachana na majina yao, kwa mfano wa 2. atakuwa anaitwa Mrs. M . Ali
1. Je kuna umuhimu gani wakubadili au kutobadili?
2. Madhara yake ni nini?
3. Historia yake ilianza lini na wapi?
Asanteni
Inategemea Mkuu
Nia ya mwanamke kutumia majina ya mume wake ni moja kati ya njia za kujenga na kumuongezea heshima mwanamke ambae ni mke wa mtu, tofauti na mwanamke ambaye hajaolewa. Ndio maana unaona wanawake wenye heshima zao wanaitwa Mama Michelle Obama, Mama Maria Nyerere n.k. ambapo maana yake nyingine ni kwamba mwanamke aliyeolewa ndio amechukua nafasi ya mama mzazi wa mwanaume kumlea huyo mwanaume aliyeolewa nae. Kwahiyo kwa asili ya binadamu popote pale duniani mwanamke ni mlezi wa mwanaume.
Ndio maana tunakuja na msemo unaosema HAKUNA KAMA MAMA
Kama mwanamke ana vyeti, passport, au mali zozote ambazo zina majina yake kabla hajaolewa hayo yatabaki hivyo hivyo, wala hakuna haja ya kuyabadilisha coz yeye mwanaume hajaoa hadi vyeti, passport au mali anazomiliki mwanamke. Nje na utambulisho ambao mwanamke atalazimika kutumia vyeti, passport na hati nyinginezo, mwanamke ni keshima kwake kujitambulisha Mrs Mnyanya kama kaolewa na Manyanya, iwe kazin, au kwa watu mbalimbali
Na pia hakuna tatizo lolote kubadili majina sema basi tu kuna baadhi ya vijana wa sasa wanamtazamo wa UMIMI zaidi au pengine hawajui mwanzo wa kitu husika
Nawakilisha
Mumeo kama mpenzi wako akiomba ubadili jina kwa nini umkatalie? Je una sababu zipi za kumwelewesha?
Kama ni suala la heshima, hata kuoa nakupa heshima kwamba mimi ni mume wa fulani, basi tumia jina langu pia, heshima hailetwi na upande mmoja, pili kama nachukua nafasi ya mama yako kukulea we huoni nastahili kupewa hiyo heshima ya wewe kutumia jina langu?
Mtu aamue mwenyewe bwana, kuna wanaume wake zao hawataki kufahamika ni wake zao, umetoa mfano wa watu wenye heshima, je majambazi sugu, wauaji, malaya wa kupindukia!!!!!
CPU heshima haipo kwenye jina!Kama mume ni mtu wa ajabu ajabu kubebana na jina lake kutashusha heshima!Na kama mke ni kituko hata abebane na jina la Papa bado atabaki kua kituko tu!
Hilo neno ZENU ingekua YA MTU ungekua umetumia uungwana!Jamani someni btn lines
Sijasema heshima iko ktk jina pekee
Na isitoshe msichanganye heshima ya ndoa na tabia ya mtu mwenyewe. Kama tabia zenu ni chafu basi ni chafu tu, lakin heshima ya kwamba mmefunga ndoa au mmeungana haitochafuliwa. Binadamu kuwa wamoja ni heshima
Ninachujua ukiolewa unahama kutoka familia yenu kwenda familia ya mume. Ukiugua unatibiwa na hata ukifa unazikwa hukohuko. Ktk hili kuongea jina la ukoo ulioenda is not an option.
Unapotambilishwa utaitwa Mrs. Unamalizia jina la ukoo wa mwanaume. Lakini kuna wale wabishi hata kama ameolewa na mumu yupo anapendelea kuitwa Ms na wengi wao ni feminist.
Hilo neno ZENU ingekua YA MTU ungekua umetumia uungwana!
!Nadhani kukubali kuolewa inatosha kutuunganisha!Jina langu ntabaki nalo kama atakavyobaki na lake!
Lizzy nilipo oa nilimuomba mwenzangu abadili jina akagoma, nimuacha wala sikumlazimisha. Bahati nzuri nikapata kazi nje ya nchi akatakiwa aombe ruhusa ya kazini kwao ili aje anitembelee. Aliambiwa hujaolewa na kama umeolewa kwa nini unatumia jina hili? kama unataka ruhusa basi fanya utaratibu wa kubadili jina. Ilibidi aombe kubadilisha jina. Akapewa ruhusa. Alipofika huku ilibidi nimuombee health insurance akaambiwa utafuata jina la mumeo hata kama kwenye passport yako unatumia la baba yako maana ndiye anakatwa kwenye mshahara wake. Pia kazini kwangu nilipowasilisha document zake za kumuongeza kama dependant wangu walikataa kusajili jina lake. Ikabidi tutumie la kwangu ndiyo mambo yaende sawa kwa ujumla ulikuwa sumbufu moja kwa moja. Yeye mwenyewe alikili kuwa alilazimisha kitu bila kujua madhala yake. Kwa Ushauri tuu LIZZY jaribu kuwa mpole.
Lizzy nilipo oa nilimuomba mwenzangu abadili jina akagoma, nimuacha wala sikumlazimisha. Bahati nzuri nikapata kazi nje ya nchi akatakiwa aombe ruhusa ya kazini kwao ili aje anitembelee. Aliambiwa hujaolewa na kama umeolewa kwa nini unatumia jina hili? kama unataka ruhusa basi fanya utaratibu wa kubadili jina. Ilibidi aombe kubadilisha jina. Akapewa ruhusa. Alipofika huku ilibidi nimuombee health insurance akaambiwa utafuata jina la mumeo hata kama kwenye passport yako unatumia la baba yako maana ndiye anakatwa kwenye mshahara wake. Pia kazini kwangu nilipowasilisha document zake za kumuongeza kama dependant wangu walikataa kusajili jina lake. Ikabidi tutumie la kwangu ndiyo mambo yaende sawa kwa ujumla ulikuwa sumbufu moja kwa moja. Yeye mwenyewe alikili kuwa alilazimisha kitu bila kujua madhala yake. Kwa Ushauri tuu LIZZY jaribu kuwa mpole.
Mkuu unless yupo kwenye nchi za kiarabu which am not sure na sheria zao.., lakini majority ya nchi you cant force mtu kutumia jina fulani.. thats why nimetoa mfano wa Dr. kwenye post #34 kwamba huyu dada atakuwa amejenga jina lake kwa muda mrefu kwahiyo kubadilisha litakuwa na effect kwa kazi yake...CPU na Voice of reason, Mimi sikuyajua hayo mpaka yaliponikuta. Na ilianzia kwenye Passport ndipo nilipo mwambia tumia jina langu akagoma na form nilijaza mwenyewe. Kwa busara siwezi anza kuweka jina langu bila kumshirikisha. Passport ilienda through na kuludi na jina lake. Ngoma ilikuwa kazini kwake, huku nchi ya watu na kazini kwangu waligoma. Na tena walikuwa wananishangaa kwa nini atumie jina lake kama kaolewa na wewe? vyeti vyote viliwasilishwa lakini walisema atatumia jina lako.
Duuuh
Zinga la mfano.
Ila nimegundua kuna baadhi ya watu wanataka kuelewa tu kwanin unatumia majina ya mwanaume KWA KUJIFANYA WABISHI
Ila mkuu nje na masuala ya kazi, unaona ni sawa mwanamke akatae kutumia jina la mwanaume??
Mi naona kukataa kwao kumekaa ki-uharakati au ki-ubishi zaidi kuliko ki-ustaarabu au ki-sababu za kueleweka