Izogi
Senior Member
- Dec 4, 2014
- 168
- 212
Habari zenu humu, hopefully mko salama. Jamani niende kwenye point nina Kaka yangu ambaye alipata mtihani kidogo wa afya ya akili alipokuwa mafunzoni Jeshini ambayo imempelekea kutokua sawa, kuna mda unaweza kaa nae akaongea tu vizuri na sometimes anavuruga maneno. NB(sio chizi kwamba anavua nguo au labda anapiga watu, hapana. Hes humble and understanding).
Saasa kwakuwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai, anahitajika mwenza (mke). Ambaye tunaamini kupitia yeye mumewe atakuwa sawa.
Kama kuna ambaye yupo tayari kwa hili please DM kwaajili ya info zaidi. This is too serious, Asanteni.