Mke kwaajili ya kaka yangu.

Km ni mkristo,ahudhulie Sana ibada amtafute Mungu wake huenda huko huko atapata mtu,vinginenvyo sijui state yake Ila ajichanganye tu atapata wa kumfaa lkn mtandaoni labda ndoa ya mkata

Tatizo ni kwamba hawa wanawake wenyewe hawaeleweki anaweza kumpa furaha kwa siku chache then akampa maumivu mengine na kuongeza zaidi tatizo lake, Ila all the best kwa kile nyie mmeona kinamfaa kaka yenu.
Dah ilo nalo neno kipenzi, ila tunatarajia mazuri.
 

Wewe una Mume ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…