Mke kwaajili ya staff mwenzangu

Mke kwaajili ya staff mwenzangu

Status
Not open for further replies.
Joined
Jan 31, 2018
Posts
37
Reaction score
304
Wasalaam,

Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia (lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu. Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.

Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.

Mwanamke anayemtaka
1. Mkristo
2. Awe anaishi Kigamboni
3. Umri 24 - 33
4. Akiwa na mtoto mmoja (Single parent) sio tatizo
5. Awe mfanyakazi au mfanyabiasha
6. Asiwe mlevi

Tafadhali njoo PM kwa walio serious tu.
 
Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..

Domo zege? Basi nshaelewa.. mkuu acha uzembe na kuzusha kutumia ujanja wa kizamani eti "staff mwenzako"

Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..

Yani staff mwenzako atafute mke, ila aliye interested aingie kwenye inbox yako...?
 
Mambo ya kuoa na kuolewa ni stress tu angalia mfano katika viongozi wetu.
1.Nyerere alikosana na Maria mpaka wakawa wanaishi vyumba tofauti kwa miaka mingi
2.Mwinyi akaamua aonheze Mke wa Pili kuondoa stress,
3.Mkapa ndio kabisa mahusiano yalikuwa kama chui na paka sijui tatizo alivhukua Mke wa Basil Mramba
4.Kikwete,Salma ni Mke wa Pill wa 1 sijui nini kilitokea,
5.Magufuli ndio walikuwa wamisha achana kabisa,Kuwa Rais ndio kuliwaunganisha tena.
6.Samia,ni miaka sasa hawako pamoja na yule mzee!

Bado wavumbuzi wote wakubwa hapa duniani na watu kwenye akili wote hawakuwahi kuoa au kuwa na familia.

Ndoa ni stress,kuwa kama Bilget.
 
Wewe Jamaa muongo sanaaa
 
Wasalaam,
Watanzania wenzangu nakuja mbele yenu kwa ajili ya ombi hili la kumkuwadia(lobbying) kwa ajili ya huyu staff mwenzangu.
Walioko mtandaoni ni wale wale walioko huko mtaani.
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.

Mwanamke anayemtaka
1. Mkristo
2. Awe anaishi Kigamboni
3. Umri 24 - 33
4. Akiwa na mtoto mmoja (Single parent) sio tatizo
5. Awe mfanyakazi au mfanyabiasha
6. Asiwe mlevi

Tafadhali njoo PM kwa walio serious tu.
yeye hawezi kujitafutia? ana ugonjwa gani?
 
Sifa za mtafuta mke
1. Miaka 35
2. Anaishi Dar es Salaam - Kigamboni
3. Ni muajiriwa katika Agency mojawapo ya Serikali
4. Elimu - Masters
5. Aliwahi kuishi na mwanamke na ana mtoto mmoja wa kike 6 years.
6. Sio mlevi, hanywi pombe kabisa.
7.Domo zege
 
Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..

Domo zege? Basi nshaelewa.. mkuu acha uzembe na kuzusha kutumia ujanja wa kizamani eti "staff mwenzako"

Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..

Yani staff mwenzako atafute mke, ila aliye interested aingie kwenye inbox yako...?
Babu, punguza hasira mkuu. Usisahau kumsalimia Raynavero.
 
Jamaa anatafuta mke kama dhahabu. Huko Kigamboni haoni wanawake mpaka atafute huku? Mwambie kama hajui hawa wanaoandika huku wengine wako hukohuko Kigamboni..

Domo zege? Basi nshaelewa.. mkuu acha uzembe na kuzusha kutumia ujanja wa kizamani eti "staff mwenzako"

Staff mwenzako ni wewe, acha ukumbaf basi..

Yani staff mwenzako atafute mke, ila aliye interested aingie kwenye inbox yako...?
Mbona hasira sana?
Umekula usiku? Haya choma dawa ya mbu ulale imbecile. [emoji28]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom