Mke kwaajili ya staff mwenzangu

Mke kwaajili ya staff mwenzangu

Status
Not open for further replies.
Kama umesoma vizuri masharti yake, mke atafutwaye ni lazima awe anaishi Kigamboni... au kasha-edit?

Heeee! Wenge la usingizi limenifanya nisione hilo sharti, kumbe anawataka wa daslam tu, basi ngoja nikae mbali.
 
Mambo ya kuoa na kuolewa ni stress tu angalia mfano katika viongozi wetu.
1.Nyerere alikosana na Maria mpaka wakawa wanaishi vyumba tofauti kwa miaka mingi
2.Mwinyi akaamua aonheze Mke wa Pili kuondoa stress,
3.Mkapa ndio kabisa mahusiano yalikuwa kama chui na paka sijui tatizo alivhukua Mke wa Basil Mramba
4.Kikwete,Salma ni Mke wa Pill wa 1 sijui nini kilitokea,
5.Magufuli ndio walikuwa wamisha achana kabisa,Kuwa Rais ndio kuliwaunganisha tena.
6.Samia,ni miaka sasa hawako pamoja na yule mzee!

Bado wavumbuzi wote wakubwa hapa duniani na watu kwenye akili wote hawakuwahi kuoa au kuwa na familia.

Ndoa ni stress,kuwa kama Bilget.
Unaeza kuwa rais wa wananchi mil 60 lkn ukashindwa kuingoza mke mmoja.

Unaweza kuwa na PHD ulashindwa kumwoza mke.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom