Mke kwenda kushinda kwao hadi jioni na kurudi na chakula kilichopikwa ukweni, nisawa mume kula hicho chakula?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Wakuu Kama kichwa cha habari kilivyo eleza hapo juu.....

Mke wangu kwao nimitaa kama 20 toka tunapoishi sasa hivi karibuni kwao wamepata matatizo flani hivyo huwenda kuwaona nakushinda kwao hadi jioni saa kumina moja sasa anavorudi huja nachakula walichopika kwao yaani hapiki tena huja nacho icho ili namume ale hicho hicho.......

Je, nisawa mume kula hicho chakula kilicholetwa namkewe toka kwao badala mke yakuwahi kurudi kwake kupika ye hujanahicho chakula alichokupika kwao ili wale namumewe.
 
Mwanamke gani huyo, hafai kabisa, nakushauri mtimue
 
Kama tangia uanze kula hujapatwa na tatizo, basi hakuna tatizo.
Mkuu kabisa mwanamke aliekamilika anarahisisha kupikia kwao moja kwa moja chakula ..cha kula mumewe Hali yakuwa kwake Kuna kila kitu kisa kurahisisha
 
Mkuu hilo halina shida kabisa! Labda useme kingine.
Shida inanipa sjawahi ona hii tabia yangu nakua mwanamke aende kutembea kushida kwao jioni arudi nachakula kapika huko huko kwao aje wale namumewe badala yake nimke kuwahi kurudi home kutekeleza jukum lakupika nyumbani kwake...
 
Fanya mambo yawe mepesi we uwe unakula kwa mama ntile unarudi home unakausha misosi anayotokanayo kwao mwachie ale yeye angalizo uwe umeoa kweli kwa ndoa maana huyo nyumbani kwao keshaondoka yeye kwake ni huko mliko na wewe
 
Don't complain everything! Angkuw umemzalisha asingeham n watoto wote kwenda kushind nao huko
 
Nilimruhusu kwenda shinda kwao kwa maana yakwamba asubuh nimetoka nimekula full ntakula usiku home so maana yake ye aje awahi jioni apike chakula Cha jioni chakula mumewe Sasa kwa akili zake ndio kaja nachakula badala yakuwahi kuja pika
 
Kama unamwamini mke wako ni sawa

Kuna vitu bro potezea wanawake karibu wote wana tabia hizo

Akienda kwenye sherehe km inamuhusu lazima arudi mara na cake mara na kuku,vinywaji.

Itoshe kusema ni tabia za kike zisizo na madhara sana kwenye mahusiano.

Au mama yake mchawi unaogopa limbwata???
 
Fanya mambo yawe mepesi we uwe unakula kwa mama ntile unarudi home unakausha misosi anayotokanayo kwao mwachie ale yeye angalizo uwe umeoa kweli kwa ndoa maana huyo nyumbani kwao keshaondoka yeye kwake ni huko mliko na wewe
Nimemuoa kwa ndoa tunamiaka7 ya ndoa
 
Mmmh yaaan mko eneo lakaribu kweli ushindwe wahi kwako kupika kumpikia mume badala yake ubebe vyakula toka kwenu kumpelekea mume ale Hali unamuda wakupika upo
 
Mkuu sijakulia ktk makuzi yakuona hivo vitu toka kwa mama yangu sjawahi ona kaenda shinda kwao akarudi nachakula chakula sie namzee badala yake huwahi kuja kuandaa chakula..maana wazazi nao niwakazi wa mji tunaoishi pia minamke
 
Wake kama nyinyi sijui tutakuja kuwapata au imekula kwetu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…