Mke material ni yupi?

Mke material ni yupi?

mm mwnyw napata kizunguzungu tu hapo ,hivi utajuaje tabia ya mtu km yy mwnyw hajaamua kukuonesha?

inahitaji muda kumfahamu mtu. Anaweza ficha baadhi ya tabia mwanzo ila mwisho wa siku utaona makucha yake.
 
pamoja na hayo ,mm nahisi utakuwa unazijua juu juu tu na si kiundani km atakavyoamua kukuonesha mwnyw au kukuambia
 
kuamua kuonesha kivipi? Yaani akamwambie asakuta angalia tabia yangu sasa ipo hivi na hivi au?
 
by her being her na siyo kupretend ,nakuhakikishia mtu akiamua usimjue wala huwezi kumjua aseeeeh husninyo.
 
ndio maana nimekwambia inahitaji muda na ukaribu. Mtu hawezi kumaliza miaka miwili kwa kuishi maisha ambayo si yake. Kama ni mapenzi ya mbali nayo inaweza chukua hata miaka mitano na bado usijue makucha ya mwenzio.
 
lol! sasa utakaa na huyu 2 yrs unagundua alikuwa anapretend ,then unampiga chini...mwngn naye 2 yrs unaona true side of her naye unapiga chini....utaendelea hivyo mpaka lini....ndo maana nikasema when it come to a marriage mtu unaangalia kuna mambo mnaendana then kujilipua tu ,the rest will take care of itself bana.
 
kama umri umekutupa mkono au una hamu na ndoa we jilipue tu.
 
th issue unaweza kukuta ni umri na ile hamu to ya kustart a family tu na kunawatu wanahisi thy wont settle mpaka aanzishe family.
 
quality za mke zipo machoni mwa mtafutaji.. hakuna short cut kwa kweli.
 
Wife material unampata wewe unapokuwa husband material na kinyume chake.
 
Back
Top Bottom