Mke mch Mungu anahitajika

Mke mch Mungu anahitajika

Daullah

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
190
Reaction score
46
Anahitajika mke mwenye elimu ya degree na kuendelea aliyetayari kuanzisha familia na awe mcha Mungu wa dini ya kiislam,umri miaka 23-25,umri wang ni miaka 32 ni mtumish wa uma kwa aliye serious ani pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefitiiii vgezo vyotte kwa Mara y kwanza..[emoji119][emoji119][emoji119]

Ila sijafunzwa kumfata mwanaume..[emoji85]
 
Mkuu unaoa degree au mke,


Vigezo vingine huwa vya kijinga sana,


Halafu baadae mkitibuana mnabaki kutafuta wanawakewasiokuwa na degree ukidhani hao hawana matatizo nao unakutana nao walewale,

Tafuta mwanamke utakayewezakuish nae kwa aman na upendo ndo maana ndoa za siku hizi hazidu kumbe vigezo DEGREE
 
Back
Top Bottom