😂😂Engineer hesabu unazizungusha utakavyo sasa inakuwaje mbususu unashindwa zipata? Anyways mcheki huyu financial services anahitaji mume na pia anamalizia cpa yake na mwisho kabisa ni mwana yanga lia lia hivyo wee ni kusali tuu mayele afuunge basi yeye sio kwa kutetema huko na matiti yake🤣🤣🤣🤣
Kamatia fursa hiyo sio unakuwa na wanaume mnazaa mitoto haina akili kama mzabzab🤣🤣🤣🤣
Sijakidhi vigezo 😂Kamatia fursa hiyo sio unakuwa na wanaume mnazaa mitoto haina akili kama mzabzab🤣🤣🤣🤣
Mie wala nisikudanganye namba tuu zilikuwa zinashima bila wasiwasi ila sasa bwana ingia huku mtaani ubadilishe hizo namba kuwa shekeli...aiseee ni shughuli pevu kweli kweliSijakidhi vigezo 😂
We Mzab tupoteze tu, ukute ni bonge na Eng huko Tanesco
Haaa naona umedhamiria kusheherekea mwaka huu siyo kwa assist hizi😀😀Engineer hesabu unazizungusha utakavyo sasa inakuwaje mbususu unashindwa zipata? Anyways mcheki huyu financial services anahitaji mume na pia anamalizia cpa yake na mwisho kabisa ni mwana yanga lia lia hivyo wee ni kusali tuu mayele afuunge basi yeye sio kwa kutetema huko na matiti yake🤣🤣🤣🤣
Mke anatengenezwa na wewe ndo mtengenezaji sawa hitaji la moyo wako!1. Nina degree ya Engineering.
2. Nimeajiliwa
Assist kama ya mayele kwa musonda....beki anatolewa pumu kwanza🤣🤣🤣🤣Haaa naona umedhamiria kusheherekea mwaka huu siyo kwa assist hizi😀😀
😀😀 nilivyomzembe naweza nikabutua badala ya kufunga😀Assist kama ya mayele kwa musonda....beki anatolewa pumu kwanza🤣🤣🤣🤣
Engineer huyo dada usiniangushe bwana
Unabutuaje tena wakati hapo engineer kasema yeye domo zege ni suala la wewe kutetema tuu matiti yakiruka ruka basi engineer hela inamtoka tuu😀😀 nilivyomzembe naweza nikabutua badala ya kufunga😀
Hamna cha bahati nasibu mke mwema anaonekana tuu. Wee ukishakuta mwanamke breki pumbuz huyo kamwe hawezi kuwa mke mwema.
Aah hiyo hapanaa😫Unabutuaje tena wakati hapo engineer kasema yeye domo zege ni suala la wewe kutetema tuu matiti yakiruka ruka basi engineer hela inamtoka tuu
Ah wee engineer kashanikibali ni wewe tuu uniangushe. Wee changamka tule pilau bwana ngoja ngoja mwishio tutakufa bwanaAah hiyo hapanaa😫
😀😀 sitakiiAh wee engineer kashanikibali ni wewe tuu uniangushe. Wee changamka tule pilau bwana ngoja ngoja mwishio tutakufa bwana
Manyara na singida wamekufanyaje?Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-36.
2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD).
3. Awe kajiajiri au muajiriwa.
4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini.
5. Awe mtu mwema na open minded.
6. Asiwe mwenyeji wa Singida,Manyara.
Mimi:
1. Nina degree ya Engineering.
2. Nimeajiliwa
3. Nina miaka 34.
4. Ni mkristo
Karibu tuwasiliane PM kwa hatua za awali
Haya siku unalia hapa jf kusaka mume mie nitakucheka tuu😀😀 sitakii