Mke/Mchumba anahitajika

Mke/Mchumba anahitajika

Engineer hesabu unazizungusha utakavyo sasa inakuwaje mbususu unashindwa zipata? Anyways mcheki huyu financial services anahitaji mume na pia anamalizia cpa yake na mwisho kabisa ni mwana yanga lia lia hivyo wee ni kusali tuu mayele afuunge basi yeye sio kwa kutetema huko na matiti yake🤣🤣🤣🤣
😂😂
 
Kamatia fursa hiyo sio unakuwa na wanaume mnazaa mitoto haina akili kama mzabzab🤣🤣🤣🤣
Sijakidhi vigezo 😂

We Mzab tupoteze tu, ukute ni bonge na Eng huko Tanesco
 
Sijakidhi vigezo 😂

We Mzab tupoteze tu, ukute ni bonge na Eng huko Tanesco
Mie wala nisikudanganye namba tuu zilikuwa zinashima bila wasiwasi ila sasa bwana ingia huku mtaani ubadilishe hizo namba kuwa shekeli...aiseee ni shughuli pevu kweli kweli
 
Kaka Engener kila la heri utampata mwenza ila uwe makini kaka Hapa jf kuna matapeli kama wote. Kuna wadada na wakaka ni matapeli huku hatari. Nilikutana na mwingine anasema yeye ni injinia kumbe kiuhalisia ni daktari wa wanadamu halafu tapeli ile mbaya anataka kulelewa.... kila siku vibomu vya hela....
 
Engineer hesabu unazizungusha utakavyo sasa inakuwaje mbususu unashindwa zipata? Anyways mcheki huyu financial services anahitaji mume na pia anamalizia cpa yake na mwisho kabisa ni mwana yanga lia lia hivyo wee ni kusali tuu mayele afuunge basi yeye sio kwa kutetema huko na matiti yake🤣🤣🤣🤣
Haaa naona umedhamiria kusheherekea mwaka huu siyo kwa assist hizi😀😀
 
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-36.
2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD).
3. Awe kajiajiri au muajiriwa.
4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini.
5. Awe mtu mwema na open minded.
6. Asiwe mwenyeji wa Singida,Manyara.

Mimi:
1. Nina degree ya Engineering.
2. Nimeajiliwa
3. Nina miaka 34.
4. Ni mkristo

Karibu tuwasiliane PM kwa hatua za awali
Manyara na singida wamekufanyaje?
 
Back
Top Bottom