Mke mjamzito, nataka kukata bima NHIF ushauri

Mke mjamzito, nataka kukata bima NHIF ushauri

Kama unataka kucover ghalama za kujifungua haitakusaidia ni mpaka uwe umechangia miaka miwili.
Ila kama unataka kwa ajili ya mama na mtoto pongezi kwako nenda NHIF
Asante kunitoa tongo tongo
 
Ndio maana nikasema nimesikia, sina uhakika kama ni kweli. Afuatilie kujua ukweli.
Mimi. Nilimkatia wife mimba ikiwa na miezi 2 kabla hajaanza clinic wiki mbili toka nilipokata hiyo bima ikawa active mpaka leo anaitumia
 
Sababu ya kuumwa manjano ni ipi
Kuna baadhi ya watoto wakiwa wachanga inni lake linakuwa halina au halijapata uwezo wa kuondoa Bilirubin, zile red pigments zitokanazo na red cells kuvunjwa vunjwa. katika hali hiyo anapata hiyo jaundice au Manjano.
 
Back
Top Bottom