C Chele2 Senior Member Joined Apr 5, 2013 Posts 102 Reaction score 5 Jul 15, 2013 #1 Jaman,hivi ni kweli kuwa jf huwez kupata mke? mim najitokeza tena,nahitaji msichana mwenye umri wa miaka 18-25,elim sio tija sana bali awe na shughuli maalumu yani ana uwezo wa kuongeza kipato ktk familia! aliye tayari aniPM
Jaman,hivi ni kweli kuwa jf huwez kupata mke? mim najitokeza tena,nahitaji msichana mwenye umri wa miaka 18-25,elim sio tija sana bali awe na shughuli maalumu yani ana uwezo wa kuongeza kipato ktk familia! aliye tayari aniPM
G GUTWE Senior Member Joined Jul 4, 2013 Posts 193 Reaction score 24 Jul 15, 2013 #2 Hebu weka sura yako wakuone..
C Chele2 Senior Member Joined Apr 5, 2013 Posts 102 Reaction score 5 Jul 15, 2013 Thread starter #3 GUTWE said: Hebu weka sura yako wakuone.. Click to expand... Atakayekuwa tayari ndo ntawasiliana nae kwa yote hayo
GUTWE said: Hebu weka sura yako wakuone.. Click to expand... Atakayekuwa tayari ndo ntawasiliana nae kwa yote hayo