Mke mkubwa amenishauri niongeze mwingine wa tatu

masanzu

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Posts
605
Reaction score
217
Bbr wanajf
jamani akinadada shida yangu ni ndogo tu usiku wa kuamkia leo ilikuwa zamu ya mke mkubwa kulala kwake tumeongea mengi sana ila alichonishauri ni ongeze mke mwingine wawe watatu,hivyo basi na mimi natangaza nia kwayoyote aliyetayari tuwasiliane
 
....hahaha, anataka mke wa pili ayasikie naye machungu ya "mgao!"
 
Bbr wanajf
jamani akinadada shida yangu ni ndogo tu usiku wa kuamkia leo ilikuwa zamu ya mke mkubwa kulala kwake tumeongea mengi sana ila alichonishauri ni ongeze mke mwingine wawe watatu,hivyo basi na mimi natangaza nia kwayoyote aliyetayari tuwasiliane

Hayatuhusu. This is your private business.
 
Ukiona hivyo ujue na huyo mkeo kaongeza mwanaume wa TATU
 
mtafute maulid kitenge au mzee yusufu mbadilishane uzoefu.hope mtaongea lugha moja.
 
Bbr wanajf
jamani akinadada shida yangu ni ndogo tu usiku wa kuamkia leo ilikuwa zamu ya mke mkubwa kulala kwake tumeongea mengi sana ila alichonishauri ni ongeze mke mwingine wawe watatu,hivyo basi na mimi natangaza nia kwayoyote aliyetayari tuwasiliane

mh! Inaelekea unamnaniu sana had kaamua uongeze mwngne ili apumzke ! Haahaahaa sinza makaburini wamejaaje hata mali hutoi mkuu humu wapo wawenyewe tu!
 
Yalaaa
..........Kama ni mke wa watatu sikubali hata kidogo, nasikitika....
 
Back
Top Bottom