Mke mkubwa amenishauri niongeze mwingine wa tatu

Mke mkubwa amenishauri niongeze mwingine wa tatu

Exactly the advice i will give to a dumb man. Yaani anataka uongeze distance kati yake na wewe! All the best.
 
Bbr wanajf
jamani akinadada shida yangu ni ndogo tu usiku wa kuamkia leo ilikuwa zamu ya mke mkubwa kulala kwake tumeongea mengi sana ila alichonishauri ni ongeze mke mwingine wawe watatu,hivyo basi na mimi natangaza nia kwayoyote aliyetayari tuwasiliane

umewahi kumsikia ASHA MKWIZU????....
 
Kiukweli wewe ni tatizo hata kama unajeuri ya kuwatimizia wote haki zao bado kiuasilia your wife simply mock you.
 
Kiukweli wewe ni tatizo hata kama unajeuri ya kuwatimizia wote haki zao bado kiuasilia your wife simply mock you.

ni mtazamo wako huo mi sijaona ubaya kuongeza jiko kwani mtoto mwenye walezi wengi hapati shida.ikiwa uwezo ninao wakuwahudumia shida iko wapi?
 
Back
Top Bottom