Mmh!!!!!! Wanaume wa sikuhizi wala hawana huruma na mikia yao!!!!!!!
Bbr wanajf
jamani akinadada shida yangu ni ndogo tu usiku wa kuamkia leo ilikuwa zamu ya mke mkubwa kulala kwake tumeongea mengi sana ila alichonishauri ni ongeze mke mwingine wawe watatu,hivyo basi na mimi natangaza nia kwayoyote aliyetayari tuwasiliane
Kiukweli wewe ni tatizo hata kama unajeuri ya kuwatimizia wote haki zao bado kiuasilia your wife simply mock you.