Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kuna riwaya za kale kabisa (hasa katika Sirah ya Ibn Ishaq, ambayo ndiyo wasifu wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w)) zinazoonyesha kuwa mara ya kwanza alipopokea wahyi, alihisi kana kwamba amepatwa na jinni au jambo la ajabu lisilo la kawaida. Alikutana na Jin
Mfano wa simulizi:
Katika Sirah ya Ibn Ishaq (iliyopokelewa na Ibn Hisham baadaye), inasimuliwa kwamba Mtume (s.a.w) alitoka pangoni akiwa ametetemeka kwa hofu, woga na kitete na kusema:
“Niliogopa nafsi yangu, niliona kabisa hali ya kuwa jinni limenikumba.”
Pia katika baadhi ya hadithi, imesemekana alihisi kama “majnum” (yaani ameguswa na nguvu zisizo za kawaida na kuwa kichaa), kwa sababu hakuweza kuelewa mara moja kwamba kinachomtokea ni wahyi.
Katika Sahih Bukhari (Kitabu cha Tafsiri, Hadith namba 3), imesimuliwa kwamba baada ya tukio hilo alirudi kwa Khadija akisema:
“Naliogopa nafsi yangu.”
Khadija akamfariji na kumwambia: “Hapana! Mwenyezi Mungu hatakudhalilisha…” kisha akampeleka kwa Waraqah bin Nawfal, ambaye alieleza wazi kuwa huyo aliyekuja ni Malaika Jinbril, akijaribu kumfananisha na yule Malaika wa Kitabu cha Wayahudi Gabriel.