Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Huyu Waraqah bin Nawfal ndio alimpa kichwa Mohamed.Waraqah bin Nawfal, ambaye alieleza wazi kuwa huyo aliyekuja ni Malaika Jinbril, akijaribu kumfananisha na yule Malaika wa Kitabu cha Wayahudi Gabriel.
Huyu Waraqah bin Nawfal ndio alimpa kichwa Mohamed.
Bila yeye basi Mohamed angebak tu na Majin yake kichwan. Ila huyu jamaa ndio aliyapa sifa yakaona yana loophole ya kupotosha weng zaid.
Kuna riwaya za kale kabisa (hasa katika Sirah ya Ibn Ishaq, ambayo ndiyo wasifu wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w)) zinazoonyesha kuwa mara ya kwanza alipopokea wahyi, alihisi kana kwamba amepatwa na jinni au jambo la ajabu lisilo la kawaida. Alikutana na Jin
Mfano wa simulizi:
Katika Sirah ya Ibn Ishaq (iliyopokelewa na Ibn Hisham baadaye), inasimuliwa kwamba Mtume (s.a.w) alitoka pangoni akiwa ametetemeka kwa hofu, woga na kitete na kusema:
“Niliogopa nafsi yangu, niliona kabisa hali ya kuwa jinni limenikumba.”
Pia katika baadhi ya hadithi, imesemekana alihisi kama “majnum” (yaani ameguswa na nguvu zisizo za kawaida na kuwa kichaa), kwa sababu hakuweza kuelewa mara moja kwamba kinachomtokea ni wahyi.
Katika Sahih Bukhari (Kitabu cha Tafsiri, Hadith namba 3), imesimuliwa kwamba baada ya tukio hilo alirudi kwa Khadija akisema:
“Naliogopa nafsi yangu.”
Khadija akamfariji na kumwambia: “Hapana! Mwenyezi Mungu hatakudhalilisha…” kisha akampeleka kwa Waraqah bin Nawfal, ambaye alieleza wazi kuwa huyo aliyekuja ni Malaika Jinbril, akijaribu kumfananisha na yule Malaika wa Kitabu cha Wayahudi Gabriel.
Hii Aya IPO kwenye Sura gani..... masheikh wangu nimewauliza wanasema hii hadithi haipo kwenye Qur'anWaraqah alikuwa mganga wa kienyeji... Sasa si unajua waganga walivyo? Kumbuka pia ni Mjomba wa Bi Khadija. Kwa hiyo Mbuzi alifia kwa muuza nyama. Bi Khadija aliamua kushirikiana na Mjomba wake kumbashiria Utume Muddy. Yaani walifanya uhuni sana. Na hapo ndo wakamwambia lile lililokuwa linakukaba si Jini ni Malaika Jibril. Ukiwauliza nyie mmewahi mwona wapi Malaika Jibril. Hawatakuwa na majibu.
Sawa mimi sijawahi mwona Malaika Jibril. But ninauwezo wa kusema huyu nliyeonana naye ni Jini au Malaika (ingawa si kwa jina) sababu ya mwonekano na matendo yake. Kama Muhammad mwenyewe aliona lile ni Jin ikawaje wasioliona waseme ni Malaika?
Lakini Jin linamkaba kumlazimisha kusoma ilhal hajui kusoma ni jambo la kujiuliza malaika angefanya hivyo? Hana taarifa kuhusu Muhamad, hajaambiwa na aliyemtuma? Hamwamini Muhamad?
Covax
Alikuwa Padre muasi wa kanisa katolikiWaraqah alikuwa mganga wa kienyeji... Sasa si unajua waganga walivyo? Kumbuka pia ni Mjomba wa Bi Khadija. Kwa hiyo Mbuzi alifia kwa muuza nyama. Bi Khadija aliamua kushirikiana na Mjomba wake kumbashiria Utume Muddy. Yaani walifanya uhuni sana. Na hapo ndo wakamwambia lile lililokuwa linakukaba si Jini ni Malaika Jibril. Ukiwauliza nyie mmewahi mwona wapi Malaika Jibril. Hawatakuwa na majibu.
Sawa mimi sijawahi mwona Malaika Jibril. But ninauwezo wa kusema huyu nliyeonana naye ni Jini au Malaika (ingawa si kwa jina) sababu ya mwonekano na matendo yake. Kama Muhammad mwenyewe aliona lile ni Jin ikawaje wasioliona waseme ni Malaika?
Lakini Jin linamkaba kumlazimisha kusoma ilhal hajui kusoma ni jambo la kujiuliza malaika angefanya hivyo? Hana taarifa kuhusu Muhamad, hajaambiwa na aliyemtuma? Hamwamini Muhamad?
Covax
Alikuwa Padre muasi wa kanisa katoliki
Tutajuaje kuwa si jini wala malaika ni matatizo ya akili tu?Kuna riwaya za kale kabisa (hasa katika Sirah ya Ibn Ishaq, ambayo ndiyo wasifu wa kwanza wa Mtume Muhammad (s.a.w)) zinazoonyesha kuwa mara ya kwanza alipopokea wahyi, alihisi kana kwamba amepatwa na jinni au jambo la ajabu lisilo la kawaida. Alikutana na Jin
Mfano wa simulizi:
Katika Sirah ya Ibn Ishaq (iliyopokelewa na Ibn Hisham baadaye), inasimuliwa kwamba Mtume (s.a.w) alitoka pangoni akiwa ametetemeka kwa hofu, woga na kitete na kusema:
“Niliogopa nafsi yangu, niliona kabisa hali ya kuwa jinni limenikumba.”
Pia katika baadhi ya hadithi, imesemekana alihisi kama “majnum” (yaani ameguswa na nguvu zisizo za kawaida na kuwa kichaa), kwa sababu hakuweza kuelewa mara moja kwamba kinachomtokea ni wahyi.
Katika Sahih Bukhari (Kitabu cha Tafsiri, Hadith namba 3), imesimuliwa kwamba baada ya tukio hilo alirudi kwa Khadija akisema:
“Naliogopa nafsi yangu.”
Khadija akamfariji na kumwambia: “Hapana! Mwenyezi Mungu hatakudhalilisha…” kisha akampeleka kwa Waraqah bin Nawfal, ambaye alieleza wazi kuwa huyo aliyekuja ni Malaika Jinbril, akijaribu kumfananisha na yule Malaika wa Kitabu cha Wayahudi Gabriel.
Sijaikimbia naitafuta siipatiSo ile story yako ndy umeikimbia.
Alipokufa Waraq, Muhamad alitaka kujinyongaHuyu Waraqah bin Nawfal ndio alimpa kichwa Mohamed.
Bila yeye basi Mohamed angebak tu na Majin yake kichwan. Ila huyu jamaa ndio aliyapa sifa yakaona yana loophole ya kupotosha weng zaid.
Alipokufa Waraq, Muhamad alitaka kujinyonga