Mke mlevi na mpenda starehe!

Huyo jamaa pole yake maana hapo kuna hatari hata akawa na ki-mtu huko nje ana run nacho na kutumia ulevi wake kama njia ya kumtoka huyo mshikaji,imeshatokea ishu kama hiyo kwa jirani yangu kilichotokea ni kuwa mwanamke aliingia mkenge akatembea na jamaa ana ngoma na mwishowe yeye mwenyewe akaanza kutangulia mbele ya haki,bahati nzuri jamaa aliacha naye sex kitambo ndio ikawa salama yake.
 

Unaniambia Kenya ipi? hii iliyoko kaskazini mwa nchi yetu ambayo nimeishi au Kenya ambayo lazima uvuke bahari ya mediterranian ndipo ufike............?

Kumwelekeza mtoto mema na mabaya ni sawa lakini si vibaya kumpa mtoto njukuti mbili tatu kumkumbusha ila kwa kiasi kama inavyosema Biblia " muwe watu wa kiasi".............Unataka tutengeneze taifa la watoto ambao wanaweza kuwaambia wazazi wao 'I hate you" kwa sababu hawajanunuliwa ice cream..........na mzazi unasema "Sorry my dear"
 
Mshauri rafiki yako - ajitahidi kukaa chini na mkewe wazungumze.
 

Angalia tofauti ya kimazingira na kihistoria
 
mwambie ampokonye hiyo biashara mapato yote achukue mwenyewe, matumizi ya nyumba asimamie mwenyewe......akishindwa amrudishe kwao hata miezi 2 ili ashtue akili......

Asee umekwiba mawazo yangu. Well said
 

Over grown marriage hiyo! Imefika wakati jamaa kukubali kuwa aanze ndowa nyengine lakini ukuwaji wake awe ana ucheki asije akazidiwa tena!.
 
Tatizo hili limewahi kunikumba. Tena hivyohivyo kama ulivyoeleza. Akilewa anasema alikuwa na ndugu. Tukawa tunagombana sana, nampiga. Nikimpiga kosa linageuka kuwa la kwangu. Naulizwa kwa nini nimempiga nikawa nakosa sababu ya maana. siku moja nikaamua kwa dhamira kabisa, sitampiga tena. Akaongeza muda wa kutorudi nyumbani mapema. alikuwa anarudi saa 4-5 usiku sasa ikawa saa 6-7. Nikaa kimya kabisa, nilikuwa nimedhamiria hasa. Siku moja akarudi saa 7 usiku nikamfukuza chumbani. Kwa taratibu za kwetu ukimfukuza mwanamke chumbani na msipoyamaliza wenyewe, usipomrudusha anatakiwa kukushtaki kwa ndugu au familia ili uulizwe sababu ya kumfukuza. Bila kumpiga. Hakuenda popote kwa miezi 3 akawa analala chumba cha pili. Siku moja wakati narudi zangu home nikamkuta kaletwa hadi home getini anakula denda saa 6 usiku. Waliponiona akateremka kutoka kwenye gari lililomleta. Nikampeleka kwa dada yake jirani na mimi nikitumaini kuwa safari hii kesi itakuwa nzuri kweli kwangu. Nikasuburi siku ya kwanza .... mpaka leo mwaka wa sita hajasema sababu iliyofanya nikampeleka kwa dada yake.
Maoni yangu kwako, hana maana huyo, mtafutie sababu umfumanie umfukuze, hiyo ndio sababu kubwa. Ulevi na satarehe sio sababu tosha. Huenda na wewe unastarehe.
 

Yale yale nasubiri ushahidi!..yaani maandishi huwezi kuona hata picha inakushinda kusoma??...Ndoa is not all about sex, ziko na responsibillities zingine na zisipotimizwa una haki ya kuamua vinginevyo!
 
mimi kila siku huwa nasema,na nitazidi kusema,wanaume ni wakati wa kutambua kwamba ni vema kuoa mwanamke ambae si mgeni wa starehe au outing!maana hata akikumbana navyo,hawezi kushawishika,ataona vya kawaida kabisa hawezi kuvilimbukia hadi achelewe nyumbani,alewe na asimjali hata mume!tatizo wanaume wengi wanapenda kuoa wanawake washambawashamba,wakiamini ndio wake wema,kumbe ndo hawafai ,chunguza maneno yangu,utaamini!fuatilia ndoa kama kumi angalia zinazodumu ni zipi!
 
Ndo madhara ya mfumo jike huu wanawake kutaka kuishi kama wanaume awe anamnasa vibao atatulia tu.
 
......aaa bana!?.....how possible? Ushaambiwa 'friends'.....kuna fitna gani mw'mke anayekunywa na male friends, na mw'ume anayekunywa na female friends?

mkuu, hiyo dhana ya 'friends' kwa mabinti ni kichaka cha kufichia vitu vingi sana...
 
Nawashukuru ndugu zangu mliweka mchango wa mawazo yenu. In short ni kwamba naona mwanamke ndiye mwenye matatizo ya ushamba na ulimbukeni, kwani mumewe huwa anatoka nae mara kwa mara hili nalifahamu. Kuhusu mke kuchelewa kurudi ndio jamaa kayasema baada ya kuchoshwa na hali ile na ulevi kumbuka wale mnaosema jamaa hana perfomance hiyo sio sababu ya ulevi.

Nimekuwa nafuatilia ugomvi wa wanandoa mwishowe husingizia 'sexual perfomance', ndugu zangu ndoa ni sex lakini pia ni zaidi ya sex maana kuna mambo kama kumjali mwenzio, kumpongeza, kumpa moyo wakati wa ugumu, kumjali kinamna mbalimbali, kupanga maendeleo, nk. Hivi mke mlevi, kama wewe ni mwanaume mwenye kujali familia utapata muda wa kukaa nae saa ngapi? Kweli mie kwa kesi ya jamaa yangu imenipa ugumu nimejaribu kuchukua mawazo yenu nikamfowadia, japo apate picha ila hajui nayatoa wapi, sio mtu wa kwenye social media kwa sana.
 
mkuu, hiyo dhana ya 'friends' kwa mabinti ni kichaka cha kufichia vitu vingi sana...

Ukweli usiopingika, wao wanaamini a man can be just a friend, ila sisi tunajua ukweli wake, labda nyoka wa kibisa au p.u.n.g.a!
 


Ni kweli ndugu yangu "asiefunzwa na wazazi ............." Yaani umchukie mzazi kwa kukuchapa katika kufundisha! Bakora ni muhimu katika mafunzo. Hivyo hata mke ni vyema kumchapa katika kumjenga na kumbadilisha tabia.
 

Hawa ndio wale wanaorudi kutoka ulaya na jeans, raba, na laptop, achana nae, hapa ni mwendo wa viboko tu! Confidence sio kila mzungu anayo! Asitudanganye kama wengine hatujaishi huko ulaya kwake!
 
Ukweli usiopingika, wao wanaamini a man can be just a friend, ila sisi tunajua ukweli wake, labda nyoka wa kibisa au p.u.n.g.a!

particularly so katika mazingira ya ulevi wa kupitiliza..
 

well said mkuu....; tunaoa ili, among other things, tupate furaha, faraja, tujenge familia, tusaidiane kwenye mikikimikiki ya maisha n.k but ndoa nyingine ni kujitafutia ugonjwa wa moyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…