Mke mlevi na mpenda starehe!

Mke mlevi na mpenda starehe!

Huyu ndugu anapaswa kufanya uamuzi ili kuokoa familia yake kutoka katika makucha ya shetani.

Nashauri ya kuwa wote wawili wanahitaji kufunguliwa (Deliverance) ili wawe watu huru. Kwasababu kuna roho ambazo zinafuatilia watu katika familia zetu an uzuri ni kuwa amekiri ya kuwa katika familia ya mke, wengi wa ndugu ni walevi ila mkewe kwa wakati huo hakuwa mlevi inawezekana kabisa roho ya ulevi imemkakamata ni lazima mtu huyu afunguliwe na kumpokea Yesu Kristo. Yesu Kristo akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli.

Ndoa zetu ni vizuri kristo awe kiongozi, lazima kumpokea Yesu kwa mioyo yetu kabisa na hakuna kuchanganya mambo. Mungu ni roho na wamwabuduo wanapaswa kumwabudu katika Roho. Yeye mwenyewe kama mume atoe maisha yake kwa kristo na kuomba kwa ajili ya familia yake pia. Mimi naamini mke wake ni mwema kabisa ila ile roho iliyoko ndani yake ndio shida kubwa kwakuwa katika hali ya kibinadamu si rahisi mtu mwenye akili timamu aache mtoto mdogo na kwenda kwenye starehe ila ni lazima ziko nguvu (za shetani ambaye kazi ya ni kuiba, kuvunja na kuharibu) zinazomsukuma kutenda hayo, akishafunguliwa na kurudi katika uhalisia wake kila mtu atafurahi pamoja nae na kumshukuru Mungu.
 
The Boss, kumpiga mkeo, mwanao ni kumdumaza ki akili na kujenga chuki isiyo kwisha. Kama ulishawahi kupigwa na baba yako/mwl wako lazima ukikumbuka hiyo moments unamchukia. Au angalia watoto wengi walio chapwa huwa hawajiamini kabisa! Kuchapa kwa ujumla ni ujinga wa hali ya juu! ndiyo maana kuna nchi ukimchapa mtoto anakuja kuchukuliwa na state, na analelewa na familia nyingine.

binadamu tupo tofauti
mimi nikikumbuka utoto huwa nasema 'sikuchapwa vyakutosha'
 
Marehemu baba yangu aliwahi kunichapa siku moja ile mpaka nikahisi anataka kuniua. Alikasirika sana kwani alininunulia bicycle enzi zile BMX ila alinionya nisiende nayo shule, nami nikakaidi. Kwa kweli toka aliponipa kibano na akanipa sababu ya kwa nini kanichapa sikuwahi kurudia tena na sikuwahi kumchukia kwani hata nikikumbuka lile tukio huwa nacheka kwani aliamua kuitupia bicycle batini tena aliidismantle yote. Ila nilipomuomba alinitengenezea. Kuchapa mtoto kwa kumkanya inasaidia mkuu, na kama wewe unamchukia mama au babako kisa alikuchapa then laana inakufata. Utafunzwa na ulimwengu. Kumbuka hata biblia imesema japo sikumbuki kufungu. Kwamba, MTOTO ANYIMWAE KIBOKO NA MAMAYE HUWA MPUMBAVU.
Nadharia zako ndugu yangu ni potofu ndizo zilizo dumaza vijana wa kitanzania walio wengi. Nakutolea mfano mdogo tu. Mimi nimeishi nchi za nje kidogo na kuweza kuona jinsi vijana wa mataifa mengine wanavyoweza kujiamini. Kwa ujumla watoto wetu sisi wa kitanzania ni vijana wasio jiamini kutokana na hulka waliojengewa na wazazi wachapa viboko, na uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. Na ukiangalia vijana wa ulaya ambao hawachapwi wanajiamini na ni creative ukilinganisha na hao wa kitanzania wanaotishiwa na kuchapwa kila siku. Na hili suala naeleza siyo theory bali ni uhalisia niliojionea mimi mwenyewe. Au tu kwa Tanzania, ukikuta mtoto/kijana anajiamini na creative basi ukifuatilia utakuta ktk familia yake baba na mama ni wenye upendo na hawana mambo ya kuchapachapa na mtoto hupewa uhuru wa kueleza mawazo yake.
 
Kwa sababu watoto hawachapwi ndio maana wanakuwa na confidence? Ama kweli watu tukiishi nje tunafikiri copy & paste ya yale tunayoyaona ndio maendeleo tu.................Hivi umewaona vijana wa Kenya walivyo na confidence..unafikiri hawajapitia mboko wale..........
 
duh, mke mlevi, anapenda starehe.....atakuwa anapigwa madole kila siku na walevi akilewa huko, bora tu wasimsodomize....
 
Nani ka kuambia hivyo, kenya watoto hawachapwi kama bongo. We endelea kuchapa wanao watakuwa bogus! Kwa sababu mie sioni mantiki ya kumchapa mtoto kisa unamaliza hasira zako tu, mtoto ni mtoto anahitaji kufundishwa mema na mabaya kwa utaratibu. Ingekuwa kuchapa ni kuelewesha basi vyuo vikuu wangechapa ili wanafunzi waelewe
 
....na uzee huu....:what: Nasali nikikesha na maombi Mw'mungu aniepushie na mke mlevi, mwongo na mpenda marafiki kuliko familia yake....

Hivi.....how can that woman undo the damage already done? ...na huo uchafu hata wa kutotandika hata kitanda chake 'astaghafirullah'......!
Siamini hii ipo kwenye DNA na Genes za kabila tajwa....msitutishie nyau bana.
 
Ha ha ha this is amazing...............

Let me tell you something..........Huyu jamaa aache kuchonga sana saa hizi hizo
gap mkewe asingekuwa nazo kama tangu mwanzo hakumzoesha mwenyewe
alimpa nafasi ya kujirusha wakiwa wachumba sasa kamuweka ndani na mtoto
juu ndo anataka kumbadilisha mwambie hilo analo atajibeba nalo
alilikoroga toka mwanzao mwambie alinywe sasa hivi asisikie uchungu
huyo mwanamke asingeweza kufanya hayo bila kuwa na confidence ya kuwa
mumewe anajua yeye anapenda kujirusha ha ha ha ha ha ha
 
duh, mke mlevi, anapenda starehe.....atakuwa anapigwa madole kila siku na walevi akilewa huko, bora tu wasimsodomize....

binti akishakuwa 'mlevi mbwa' lazima 'friends' or whatever you call them wata-'roam' freely kwenye matundu yote...
 
Ha ha ha this is amazing...............

Let me tell you something..........Huyu jamaa aache kuchonga sana saa hizi hizo
gap mkewe asingekuwa nazo kama tangu mwanzo hakumzoesha mwenyewe
alimpa nafasi ya kujirusha wakiwa wachumba sasa kamuweka ndani na mtoto
juu ndo anataka kumbadilisha mwambie hilo analo atajibeba nalo
alilikoroga toka mwanzao mwambie alinywe sasa hivi asisikie uchungu
huyo mwanamke asingeweza kufanya hayo bila kuwa na confidence ya kuwa
mumewe anajua yeye anapenda kujirusha ha ha ha ha ha ha

Dena bana,.....mwenyewe anasema zamani 'hakuwa' hivyo. BTW, hata kama alikuwa 'komba' kabla hawajaoana, huipi nafsi matumaini kwamba atabadilika (akitaka?)

Lol....umemcheka hapo mwisho, mwenzio anateketea hahaha....Hivi mke mlevi na 'rafiki' zake, au mume mlevi na 'rafiki' zake..nani ana unafuu wajameni?
 
binti akishakuwa 'mlevi mbwa' lazima 'friends' or whatever you call them wata-'roam' freely kwenye matundu yote...

......aaa bana!?.....how possible? Ushaambiwa 'friends'.....kuna fitna gani mw'mke anayekunywa na male friends, na mw'ume anayekunywa na female friends?
 
nimesoma comments zote Bondspot nilizoweka nimeelewa kitu fulani chenye kufunza jambo. Kwangu mimi ushauri wangu ni huu.

Mwambie huyo rafiki yako awe baba nyumbani kwake na wala siyo mtu baki. Baba anayonafasi kubwa sana katika maisha ya kiafrika na huo ndio ukweli.Ifike mahali sauti yake ikitoka ndani iweni ya mwisho na hakuna wa kuhoji kwanini kasema hivi.

Alishakosea toka mwanzo lakini sasa bado anayo nafasi ya kurekebisha, kwanza kabisa siku atumie uamuzi wa boss achape makofi ya haswa, hadi sura ikoboke kisha amwambie nikikuta umeondoka hapa ndani usirudi tena humu ndani mwangu. Pia asiwahofie hao ndugu wa mkewe manake kama ulivyosimulia ni kama alikwenda kuomba ndugu wamkanye na ukisoma kwa makini utagundua kwasababu ukoo ni wawalevi ina maana wanazohela, na pengine huyu jamaa ukoo wao hauko na pesa kama wa mkewe so anahofu fulani( nisamehe kama nitakosea).

swala la hela hapa ila aangalie maisha ya nyumba yake, kama mama yake mzaz na huyu bwana yuko kijijini ampeleke au hata kama hayuko ampeleke akamwache huko alimie makaburi ya wakweze for 2 wks atie akili kama ni mwehu akaufanyie huko ukweni aone kama hakutiwa mboko na shemeji zake.

mwisho kabisa asali na amwombe mungu ambadilishe mkewe. iLA LEO NIMEFURAH KUONA KUMBE HATA ME MNAKAMATIKAGA eeeeeh? sijui babu Asprin yuko wapi aone hayana Bishanga????
 
mmh kiukweli ulevi uliopitiliza haswaa kwa wanawake si mzurii kbs....... kwanza una side effects kibao yan!
mmh pole yake lkn pia kweli kbs huyo dada before hakuwa ivyo?? ss mpaka mkewe anafikia kuwa na extreme case kias icho yeye alikuwa anafanya nn?? au ndio alibadilika drastic kias ichoo??
nways pole mwaya embu muweke kwenye maombi, pia wakae waendelee kuzungumza kuwa hapendi io tabia!
 
Wewe chunguza,matatizo mengi ya namna hii ( hasa dharau kwa mwenza maana hii ni dharau) huanzia bedroom. Jamaa afunguke something is wrong kwenye six by six,believe ye me.
 
Huyo mwanamme kashindwa kuitunza nyumba yake asisingizie mwanamke.

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na samaki mkunje angali mbichi.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa "performance" ya jamaa ni ndogo kupita mahitaji ya huyo mwanamke ndiyo inapelekea yote hayo.
 
kumbeeeeeeeeee ndo mnatuchukulia hivi sie wapenda sherehe, dah sikuwahi kujua
 
Labda na mimi pamoja na kukosa uzoefu naona kuna haja ya kuchukua hatua sasa kwasababu kwa hatua aliyofikia shangazi yetu anaonekana kumdharau waziwazi mumewe na kitendo cha kukalishwa na wazazi lakini asielewe maagizo aliyopewa inaonekana wazi kuwa hana tena shida na mume na ndoa husika lakini kwa jaribio tu mume ajaribu kumrudisha kwa wazazi wake hapo anaweza kugundua kama mwanamke hyo ana shida naye au la maana kana hana shida naye atatafuta mwanaume mwingine mapema lakini kama alifanya hivyo kwa bahati maya basi atakuwa mwepesi kurudi na kuomba radhi
 
Back
Top Bottom