päiva
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 240
- 256
Huyu ndugu anapaswa kufanya uamuzi ili kuokoa familia yake kutoka katika makucha ya shetani.
Nashauri ya kuwa wote wawili wanahitaji kufunguliwa (Deliverance) ili wawe watu huru. Kwasababu kuna roho ambazo zinafuatilia watu katika familia zetu an uzuri ni kuwa amekiri ya kuwa katika familia ya mke, wengi wa ndugu ni walevi ila mkewe kwa wakati huo hakuwa mlevi inawezekana kabisa roho ya ulevi imemkakamata ni lazima mtu huyu afunguliwe na kumpokea Yesu Kristo. Yesu Kristo akikuweka huru unakuwa huru kwelikweli.
Ndoa zetu ni vizuri kristo awe kiongozi, lazima kumpokea Yesu kwa mioyo yetu kabisa na hakuna kuchanganya mambo. Mungu ni roho na wamwabuduo wanapaswa kumwabudu katika Roho. Yeye mwenyewe kama mume atoe maisha yake kwa kristo na kuomba kwa ajili ya familia yake pia. Mimi naamini mke wake ni mwema kabisa ila ile roho iliyoko ndani yake ndio shida kubwa kwakuwa katika hali ya kibinadamu si rahisi mtu mwenye akili timamu aache mtoto mdogo na kwenda kwenye starehe ila ni lazima ziko nguvu (za shetani ambaye kazi ya ni kuiba, kuvunja na kuharibu) zinazomsukuma kutenda hayo, akishafunguliwa na kurudi katika uhalisia wake kila mtu atafurahi pamoja nae na kumshukuru Mungu.