SUPPER GLORY
Member
- Oct 15, 2018
- 9
- 22
Habari za asubuhi wana JF?
Awali ya yote, nimetanguliza salamu kwenu nikiwa na matumaini kuwa mko vizuri. Katika chapisho hili, nimependa kutoa hitaji langu kwenu kuwa kupitia jukwaa hili, ninahitaji kumpata mke mtarajiwa ambaye tutajenga pamoja familia. Napenda kumpata mwanamke ambaye anaanzia umri wa miaka 24 hadi 36 maana na mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36.
Itapendeza sana kama mtu huyo atakuwa mkazi wa Dar es Salaam, hii ni kutokana na urahisi wa mawasiliano. Kwa atakayependa kuwa na mimi, tuwasiliane kwenye PM
Ahsanteni.