Mke mtarajiwa anahitajika

Mke mtarajiwa anahitajika

SUPPER GLORY

Member
Joined
Oct 15, 2018
Posts
9
Reaction score
22
Habari za asubuhi wana JF?

Awali ya yote, nimetanguliza salamu kwenu nikiwa na matumaini kuwa mko vizuri. Katika chapisho hili, nimependa kutoa hitaji langu kwenu kuwa kupitia jukwaa hili, ninahitaji kumpata mke mtarajiwa ambaye tutajenga pamoja familia. Napenda kumpata mwanamke ambaye anaanzia umri wa miaka 24 hadi 36 maana na mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36.

Itapendeza sana kama mtu huyo atakuwa mkazi wa Dar es Salaam, hii ni kutokana na urahisi wa mawasiliano. Kwa atakayependa kuwa na mimi, tuwasiliane kwenye PM

Ahsanteni.
 
Habari za asubuhi wana JF?
Awali ya yote, nimetanguliza salamu kwenu nikiwa na matumaini kuwa mko vizuri. Katika chapisho hili, nimependa kutoa hitaji langu kwenu kuwa kupitia jukwaa hili, ninahitaji kumpata mke mtarajiwa ambaye tutajenga pamoja familia. Napenda kumpata mwanamke ambaye anaanzia umri wa miaka 24 hadi 36 maana na mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 36. Itapendeza sana kama mtu huyo atakuwa mkazi wa Dar es Salaam, hii ni kutokana na urahisi wa mawasiliano. Kwa atakayependa kuwa na mimi, tuwasiliane kwenye namba 0755632388.
Ahsanteni.
Kigezo kikubwa ni umri na mkazi wa Dar haya wadada changamkieni fursa kabla jua halijazama.
 
Mm Nina vigezo vyote isipokuwa tuu kimoja location. Haya wee kila la kheri
 
Back
Top Bottom