Mke mtarajiwa hana hisia ukeni, nini tatizo?

Mke mtarajiwa hana hisia ukeni, nini tatizo?

Kama sio muumini wa kabang basi atakua amezoea kujichua au ni wale wa jinsia moja, amezoea kusagana!
 
Kama sio muumini wa kabang basi atakua amezoea kujichua au ni wale wa jinsia moja, amezoea kusagana!
Haha Kazi kwelikweli, maana kuna kiza nene hapa, atajua je sasa? je Kuna dawa ya kumsaidia?
 
Wakuu,

Kwa zaidi ya miezi sita rafiki yangu wa karibu amekuwa akinieleza juu ya uhusiano wake na binti/dada mmoja mwenye umri ya miaka 27.

Sifa za dada.
Mrefu, maji ya kunde, mchangamfu, wowo kiasi fualani, mcha Mungu tangu utotoni, mpenda watu hasa watoto.

Kwa sifa hizo hapo juu zilimfanya rafiki yangu wa miaka 30 kumchumbia huyu dada mnamo March 2016 na kumvisha pete ya uchumba baada ya kujuana zaidi ya mwaka mmoja.

Baada tu ya kumvisha pete ya uchumba basi dada huyu na rafiki yangu wakafikia hatua nzuri ya mahusiano kiasi cha kuanza kugegedana na kuelezana ukweli wa kila kitu na kuwa wazi zaidi kwa kila mmoja.Katika kuelezana ukweli wao kuna kitu rafiki yangu kinamfanya awaze sana kila kukicha.

Hapa nanukuu maneno ya rafiki yangu.
" Nimekuwa nikukutana na mke wangu mtarajiwa mara kadhaa, lakini kila nikikutana nae ananambia sijawahi kumfikisha kileleni na huwa hafurahii penzi hata kidogo. baada ya kuumdadisi sana akanambia hana hisia ukeni hata kidogo, hata mimi nikifika huwa ajui lamba aone mapigo yangu yanapoongezeka. Nimejiuliza lambda hana nguvu za kike. Sijui nifanyeje?."

Hayo ndio maneno ya rafiki yangu. Msaada wenu wandugu tunusu haya mahusiano yawe mazuri.
Hebu mchunguze alifanyiwa ukeketwaji? Maana kama simi limepunguzwa itakuwa ngumu sana kumfikisha.
 
Zidisha utundu MKUU KUNA Mahali utamkamata tuu. Hawa viumbe wanahitaji ubunifu na njia mbadala
 
Mimi mganga toka mbeya ,, natibu nguvu za kike tuuu!!!
 
hahaaah hana hisia ukeni zipo wapi sasa? pumbav sana!
 
bado.hajamuoa.ndio.mana
anakua.hv.hy
n.mchamungu.inawezeka
anamlazisha.yy
haond
hilo.suala
hadi.ndoa.ifungwe.atakaa.poa.wakishaoana.full
 
dah....sasa yeye alichumbiaje bila kugegeda kwanza?
anyways yote maisha mie naona jamaa wala hasiangaike kwenda kwengine huyo mwanamke yeye aendelee nae na wakaone dokta wa wanawake.
Naungana nawe mkuu! Waende tu kwa daktari.
 
Hehehehe na wanaume washagaona ni kazi wameamua kujiridhisha wao tu ahahah,lakin kuna wanaume wengine akiingiza tu dudu yake ni kama sumaku jamani unakojoa haahha
Hahahaaa hilo tatizo mkuu...mwanaume anatakiwa awe na mtazamo wa kurithisha upande wa pili zaid kuliko yeye
 
Hahahaaa hilo tatizo mkuu...mwanaume anatakiwa awe na mtazamo wa kurithisha upande wa pili zaid kuliko yeye
Nakuambia mwanamke kukojoa awe ametulia hasa kisaikolojia la sivyo hakojoi ng'ooo,tena akikutana na ambae hajui sasa
 
Back
Top Bottom