Mke mtarajiwa kaharibiwa

Mke mtarajiwa kaharibiwa

Habarini za jioni wadau

Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. Kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu, na ahadi tele kwakweli.

Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu, cha ajabu ni pale tulipokua tunafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje.

Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile. Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi, bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha.

Nimenyong'onyea kwa kweli na natamani nimuulize lakini nashindwa.

Hebu nishaurini niendelee kuwa nae ama nimuache? nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

Cancel the Deal
 
Yaani hata kumuuliza unashindwa are you serious???,huwezi kufanya maaumuzi sahihi kama hujapata uhakika wa kile unachomhisi nacho.ila kama ukikuta ni kweli kaharibiwa piga chini hafai huyo kuwa mkeoa
 
Duh!! Pole sana kaka.Anaweza kuwa na tatizo jingine tofauti na kuingiliwa nyuma.Kaa nae chini muulize kiustaharabu.
 
Habarini za jioni wadau

Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. Kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu, na ahadi tele kwakweli.

Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu, cha ajabu ni pale tulipokua tunafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje.

Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile. Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi, bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha.

Nimenyong'onyea kwa kweli na natamani nimuulize lakini nashindwa.

Hebu nishaurini niendelee kuwa nae ama nimuache? nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

Hapo inabidi uongee naye umuulize vizuri.
 
toooo bad! ila fanya uchunguzi usije jutia baadae
 
Nilishawahi pingana na watu humu jamvini kuhusu athari za 'anal sex', nikaishia kuitwa 'Gay'...mpaka nilitongozwa inbox na kukwazika sana, sababu tu nilikuwa najaribu kusema ukweli kutokana na taaluma yangu. Watu wengi wameshakushauri kuwa inawezekana kuwa 'Haemorrhoids'. Uwepo wangu katika fani ya afya umeniwezesha kujua kuwa hili ni tatizo ambalo linakuwa kwa kasi siku hizi...na halisababishwi na anal sex...siku hizi tumekuwa tukila sana vyakula visivyo na fibers za kutosha, hasa wanawake (samahani, si mbaguzi but ndio ukweli)..hili limepelekea watu kutopata choo cha kutosha (bulky stool) na wengi kupata constipation, haya mawili yanapredispose sana kupata Haemorrhoids! Mpenzi wako alikuwa Ulaya masomoni, nimesoma ulaya for a long time na tulikuwa walaji sana wa 'junky foods', ambazo ndizo vinara wa low fibers, an constipation lilikuwa tatizo kubwa..may be some of us ended up with Haemorrhoids..hatuambiani.....usimhukumu mpenzi wako kuwa kaharibiwa kwa anal sex sababu ya Haemorrhoids, kwani kuna wanawake wengi sana tu siku hizi wana internal au external Haemorrhoids na ni mabikra wa 'tigo'. Haemorrhoids ni tatizo linalotibika, mpeleke mwenza wako kwa daktari (Surgeon) amchunguze stage ya hizo Haemorrhoids na akushauri. NB: Haemorrhoids ni ugonjwa wengine wanauona embarrassing kuchunguzwa, so wengi wenye hilo tatizo huwa hawaendi tafuta matibabu, ongea na mpenzio, mpe confidence na msupport apate matibabu stahiki..muendelee kwa furaha.
Ahsante sana dokta kwa mchango wako. Nikiri kua umenitoa wasiwasi kwa namna fulani. Nimejaribu ku google nimeona utofauti hapa. Hii Haemo inaonekana kama nikijinyama kilichokua protruded from inside kikatokeza kwa nje. Na hii niliyoiona hapa ni kama vile mdomo wa mtu anayepuliza kwa nje. Sijui umenipata my point? Natamani nikufafanulie kwa picha enywei. May be ni aina mojawapo ya ugonjwa huohuo.
Ila nikushukuru mdau.
 
tumia lugha ya picha
au magazijuto
JARIBU KAMA UNA........ SEHEMU YA NYUMA MKIFANYA MAPENZI ASIPO RESIST BASI TOA ENDELEA NA SEHEM YA KAWAIDA MKIMALIZA SAFARI YENU

anzia hapo mwambie saa zile nilokosea njia lakini niliona hupingi vipi tunaweza kufanya kwa njia hiyo???

hapo ndo utaelewa na atakwambia kila kitu kama ku,cancel uanzie hapo
ILA UKIJIA HASIRA NYINGI NA GHADHABU BASI UTAMPOTEZA MAANA UKIMUULIZA MOJA KWA MOJA ATAHISI UTAMUACHA
SO FIRST THING JIFANYE KAMA UNATAKA HUO UCHAFU(maana ushasema kumwambia uwezi) so hapo utatumia hesabu za milinganyo thennitajuwa wapi na nini ufanye(ila usijaribu kufanya huo mchezo)

ushauri mzuri sana, fuata huu ushauri upate pa kuanzia
 
ni kweli nyama hizo inawezekana ni ugonjwa muulize na mpeleke akapate tiba kwa faida yenu wote
 
Ha ha haa.. Sio story ya vichekesho ila nimecheka aisee!
..njia mbili, ya kwanza tumia kidole....jaribu kukipitisha uone reaction yake na sikilizia misuli ya nyuma kama imebana au imeachia.

Pili, use doggy style, there you get visibility at right angles, stretch her butts, if the ass remains wide open, then you have answers to your queries! It's as simple as ABC!!
Habari ya nyama yaweza kuwa ugonjwa tu...

Mwe mwe mweeeeee kaka Eli yaelekea una ka uzoefuuuu.... ya kupekenyua huko kwa investigation ndo yapi tenaaaa? Lol mbavu zangu mie
 
Mwe mwe mweeeeee kaka Eli yaelekea una ka uzoefuuuu.... ya kupekenyua huko kwa investigation ndo yapi tenaaaa? Lol mbavu zangu mie

sina uzoefu sista..teeeh!! Nasoma na kusikia kwa watu. Lakini unazionaje mbinu hizi??
 
Back
Top Bottom