Mke mtarajiwa kaharibiwa

Kosea njia uone taharuki au mirindimo ya mauno
 
hahhaah mambo mama
jumatatu akili yangu inakaaga sawa ila ikishafika ijumaa navurugwa muulize evelyn salt anajua awa litle secret

NENDA KWENYE UZI WA G SPOT umendikwa do you search for g spotKAMA SIKOSEI

Umetisha sana pande zile eti " G spot inapatikana usoni?" teh teh
 
Sie w/ume tunaowaharibu hao kina dada afu tunasema hatuwaoi, waolewe na nani sasa?
 
Mkuu nisamehe bure, huyo demu alipokuwa huku masomoni hakuniambia Kama ana mchumba.


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
kama ni ulaya hiyo ndio shughuli yao kubwa | wazungu bwana! mbaya zaidi apate akili kama za wazanzibar kuogopa mimba kwa kugawa (o) eti asije haribu masomo yake!so limzungu ndio linacheeeka kwa utamu! test kama umekosea vile result wil comeback shitsgalz
 
Ha ha ha haaaa!!!!!ukiona manyoya?????????? NTAVECHA DUU AHA MI NI MWANAKE BADO!!!!!
 

inawezekana ni shida tu zilimfanya awe hivyo, kuishi kwenye nchi za watu ni kazi sana, muulize tu muyaweke sawa anaweza kubadilka kama shida zikiwa hazipo
 
seems like you guys are not soul partners or even best friends, hizi issue internal hivi jf ndiyo ikutatulie, ama kweli wakisema siku hizi social networks ndiyo uwanja wa kutatua ishu za wapenzi then break up ikija unalia mwenyewe na maumivu yako... talk to her and act like a man bhana.
 
Baby M naanzajeanzaje kumwambia hebu nisaidie. Hebu imagine ninavyomuheshimu na anavyoniheshimu. Nimwambie umeingiliwa huko atanichukuliaje? Halafu hata kama ni kweli unategemea ataniambia ndio? Eti nasikia wakianza michezo hiyo hawaachi kamwe?
 
inawezekana ni shida tu zilimfanya awe hivyo, kuishi kwenye nchi za watu ni kazi sana, muulize tu muyaweke sawa anaweza kubadilka kama shida zikiwa hazipo
Eti ndugu hebu nisaidie. Hivi ni kweli kwamba ukishaanza mchezo huo huez acha tena?
 
Baby M naanzajeanzaje kumwambia hebu nisaidie. Hebu imagine ninavyomuheshimu na anavyoniheshimu. Nimwambie umeingiliwa huko atanichukuliaje? Halafu hata kama ni kweli unategemea ataniambia ndio? Eti nasikia wakianza michezo hiyo hawaachi kamwe?
ninavyomuheshimu na anavyoniheshimu- hapo nimebold ndy pakufanyia kazi kama kweli unamheshimu na yeye anakuheshimu ndiyo mtaweza ongea kwa kuheshimiana kwa kuuliza strategic questions ambayo yatamfanya aeleze whats going on with her kwa heshima hyo hyo aliyo nayo juu yako atakujibu ukweli with maelezo ya kutosha...talk as bestfriends or soul partners not as mwalimu na mwanafunzi... na usiulize maswali yatakayo onyesha ulisha waza kwamba analiwa 0712.
 

Mkuu matatiz ... Kuna internal and external haemorrhoids, na zinaweza present tofauti kutokana na stage ya ugonjwa, mfano hiyo inayofumuka kwa nje kama mdomo umepulizwa nje. Ni vyema ukampeleka kwa daktari Surgeon, wana jinsi ya kumuexamine mgonjwa kujua ni internal or external Haemorrhoids na ni stage gani..na atakushauri way forward.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…