Mke mtarajiwa kaharibiwa

Mke mtarajiwa kaharibiwa

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini za jioni wadau

Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. Kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu, na ahadi tele kwakweli.

Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu, cha ajabu ni pale tulipokua tunafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje.

Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile. Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi, bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha.

Nimenyong'onyea kwa kweli na natamani nimuulize lakini nashindwa.

Hebu nishaurini niendelee kuwa nae ama nimuache? nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.
 
muulize kwa lugha nzuri na tulivu ili uondoe mashaka yako..labda alipatwa na matatizo tofaut na mini kabang
 
Huyo achana naye atakuletea shida bure za kwamba haumridhish kumbe kazoea mlango wa uwani
 
tumia lugha ya picha
au magazijuto
JARIBU KAMA UNA........ SEHEMU YA NYUMA MKIFANYA MAPENZI ASIPO RESIST BASI TOA ENDELEA NA SEHEM YA KAWAIDA MKIMALIZA SAFARI YENU

anzia hapo mwambie saa zile nilokosea njia lakini niliona hupingi vipi tunaweza kufanya kwa njia hiyo???

hapo ndo utaelewa na atakwambia kila kitu kama ku,cancel uanzie hapo
ILA UKIJIA HASIRA NYINGI NA GHADHABU BASI UTAMPOTEZA MAANA UKIMUULIZA MOJA KWA MOJA ATAHISI UTAMUACHA
SO FIRST THING JIFANYE KAMA UNATAKA HUO UCHAFU(maana ushasema kumwambia uwezi) so hapo utatumia hesabu za milinganyo thennitajuwa wapi na nini ufanye(ila usijaribu kufanya huo mchezo)
 
Teh ...teh yani MARINDA wameyanyofoa wanyamwezi !!pole kaka ndo ukubwa huo,vipi akijamba inakuaje?linatoka gogo?
Uzungu huu jamani!!
 
pole labda atakuwa anaumwa siyo sawa kumuacha, je angekuwa mke wako wa ndoa ungemuacha? hapana muulize kwa utaratibu na mpeleke hospitalini,
 
Habarini za jioni wadau.
Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami.
Yuko masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu. Ahadi tele kwakweli.
Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu. cha ajabu ni pale tulipokua tuanafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje. Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile.Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi. Bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha, nimenyong'onyea kwa kweli. Natamani nimuulize. Lakini nashindwa.
Hebu nishaurini. Niendelee kuwa nae ama nighairi?
nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

kunaugonjwa wa hapo nyuma si lazma awe ameingliwa
 
Huo ni ugonjwa na sio dalili ya kuwa kaingiliwa kinyume... Hata wewe unaweza kuupata..

Sisemi nina uhakika ila ulizia wataalamu wa afya watakufafanulia
 
Habarini za jioni wadau.
Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami.
Yuko masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu. Ahadi tele kwakweli.
Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu. cha ajabu ni pale tulipokua tuanafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje. Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile.Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi. Bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha, nimenyong'onyea kwa kweli. Natamani nimuulize. Lakini nashindwa.
Hebu nishaurini. Niendelee kuwa nae ama nighairi?
nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

kunaugonjwa wa hapo nyuma si lazma awe ameingliwa btw ulikuwa unatafta nini kipande hiyo?
 
tumia lugha ya picha
au magazijuto
JARIBU KAMA UNA........ SEHEMU YA NYUMA MKIFANYA MAPENZI ASIPO RESIST BASI TOA ENDELEA NA SEHEM YA KAWAIDA MKIMALIZA SAFARI YENU

anzia hapo mwambie saa zile nilokosea njia lakini niliona hupingi vipi tunaweza kufanya kwa njia hiyo???

hapo ndo utaelewa na atakwambia kila kitu kama ku,cancel uanzie hapo
ILA UKIJIA HASIRA NYINGI NA GHADHABU BASI UTAMPOTEZA MAANA UKIMUULIZA MOJA KWA MOJA ATAHISI UTAMUACHA
SO FIRST THING JIFANYE KAMA UNATAKA HUO UCHAFU(maana ushasema kumwambia uwezi) so hapo utatumia hesabu za milinganyo thennitajuwa wapi na nini ufanye(ila usijaribu kufanya huo mchezo)

masaidada anaweza ku test kwania ya kuupata ukweli halisi mwishowe akanogewa unafikiri itakuaje?tutampoteza nahuyu.
 
Nendeni hospitali, mwambie tofauti unayoona mshauri mwende hospital akatibiwe. We unafikiri wanaopenda tigo ndiyo wako hivyo, usihukumu mwenzio bila kuwa na uhakika.
 
Back
Top Bottom