Mke mtarajiwa kaharibiwa

Mke mtarajiwa kaharibiwa

Habarini za jioni wadau.
Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami.
Yuko masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu. Ahadi tele kwakweli.
Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu. cha ajabu ni pale tulipokua tuanafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje. Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile.Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi. Bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha, nimenyong'onyea kwa kweli. Natamani nimuulize. Lakini nashindwa.
Hebu nishaurini. Niendelee kuwa nae ama nighairi?
nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

Mlikuwa hamjawahi kufanya na unasema zamani hakuwa hvyo so ulijuaje may be tangu zaman alishaharibka.
 
kaishaharibiwa sio riziki yako tena,ila ni vema umuulize mwambie mbona huku kupo hivi?then subiri jibu akikupa ukweli asipokuficha fumba macho endelea naye hutapata maumivu makali kama ukimuacha kupenda kubaya aisee unaweza konda bila sababu
 
kuna magonjwa hua yanasababisha hiyo nyama kutoka nje huenda nae atakua ameugua,ni ugonjwa unaosababishwa na minyoo inaitwa trichuris trichiura huenda atakua anaumwa ugonjwa huo muulize vizuri
 
Anaumwa huyu Dada so bureee...waliotatuliwa rinda hawakuag hvoo
 
:hug::gossip: Muulize tu Mkuu yawezakuwa Degue maana asili ya gonjwa hili ni nje ya Nchi
 
Habarini za jioni wadau.
Nina mpenzi wangu, ninampenda sana naye ananipenda. kwa muda mrefu hatukuwahi kukutana kimwili kwa sababu yuko mbali nami.
Yuko masomoni nje ya nchi. Tunawasiliana vizuri tu. Ahadi tele kwakweli.
Sasa hivi juzi alirudi kutoka masomoni akaja mpaka kwangu. cha ajabu ni pale tulipokua tuanafanya mapenzi niligundua kua sehemu yake ya haja kubwa nyamanyama zake zimetokeza kwa nje. Hii ni dalili tosha kuwa alikua akiingiliwa kinyume na maumbile.Niliumia sana, nilistaajabu sana zamani hakuwa hivi. Bado nampenda sana lakini hali hii inanisikitisha, nimenyong'onyea kwa kweli. Natamani nimuulize. Lakini nashindwa.
Hebu nishaurini. Niendelee kuwa nae ama nighairi?
nimeambiwa huu mchezo mtu akishaanza hawezi kuacha.

hizo nyama zisukumie ndani na wewe ukishindwa niletee ofisini kwangu nizikate au piga 112 niulizie dr MO11
 
Back
Top Bottom