Miaka 35 vipi mkuu?, nije?
Mmh kuzaa ni majaliwa, siwezi jua kama nna uwezo or not coz sijawahi kuzaa, wewe unaweza kuzalisha? Ila hadi hapo sina sifa,kila rakheri mkuu.
Mmh kuzaa ni majaliwa, siwezi jua kama nna uwezo or not coz sijawahi kuzaa, wewe unaweza kuzalisha? Ila hadi hapo sina sifa,kila rakheri mkuu.
Utangulizi hapo juu, unamaana,
Ningependa kumpata mwanadada anayejitambua, anampenda Mungu na kujiheshimu.
Elimu sio dili, vigezo hapo ndio vinamata.
Mimi ni MKRISTO.
Awe na umri kati ya 27-31.
Karibu inbox kwa aliye interested.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 35 vipi mkuu?, nije?
Kila la kheri ukikosa kipindi hiki cha karantini sijui kama utapata tena humu JF
Babe nilikua natania tu sijaenda, fumanizi hilii, mambo darling.๐We mwanamke!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babe nilikua natania tu sijaenda, fumanizi hilii, mambo darling.[emoji3]
Babe nilikua natania tu sijaenda, fumanizi hilii, mambo darling.[emoji3]
๐๐
Atleast hujajua, hamna kitu dear, I love you๐Mi napita tu kwani kuna nini?
Miaka 35 vipi mkuu?, nije?
Mkuu hadi umeenda kufukua kaburi, duh haya bana mjanja wewe, ila miaka inaenda kasi sana ujue๐๐
35 still bado hujazaa?vipi?was it your plan?Miaka 35 vipi mkuu?, nije?
Mkuu hadi umeenda kufukua kaburi, duh haya bana mjanja wewe, ila miaka inaenda kasi sana ujue[emoji3][emoji3]
Yes it's my plan nimepanga hadi nifikishe 37 hivi ndyo ntaanza kuwaza kuwa na watoto ,is it bad?35 still bado hujazaa?vipi?was it your plan?
Hittin Blunts and Bustin Nuts
Yes it's my plan nimepanga hadi nifikishe 37 hivi ndyo ntaanza kuwaza kuwa na watoto ,is it bad?