Mke mwema anahitajika hapa.

Mke mwema anahitajika hapa.

Hapana namaanisha utayari mkuu, maana unaweza usiwe tayari. Najua kupata mtoto ni baraka za mwenyezi Mungu. Usikate tamaa, karibu inbox tuyajenge
Mmh kuzaa ni majaliwa, siwezi jua kama nna uwezo or not coz sijawahi kuzaa, wewe unaweza kuzalisha? Ila hadi hapo sina sifa,kila rakheri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utangulizi hapo juu, unamaana,

Ningependa kumpata mwanadada anayejitambua, anampenda Mungu na kujiheshimu.

Elimu sio dili, vigezo hapo ndio vinamata.

Mimi ni MKRISTO.

Awe na umri kati ya 27-31.

Karibu inbox kwa aliye interested.

Sent using Jamii Forums mobile app

Diva the bawse yupo single 31yrs
mahari milioni 500

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom