Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Leo umepatikana! Na ukome kuzurura kwenye hizi nyuzi za kutafuta wachumba![emoji28][emoji28][emoji28]Mmh kuzaa ni majaliwa, siwezi jua kama nna uwezo or not coz sijawahi kuzaa, wewe unaweza kuzalisha? Ila hadi hapo sina sifa,kila rakheri mkuu.