Mke mwema anahitajika

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,033
Reaction score
10,622
Wadau nahitaji kuoa sasa.

Umri umetosha, kazi nimepata sasa nahitaji kuanzisha familia.

Nina 28 yrs naomba mdada aliye tayari na serious ani Pm.

Nasistiza mwenye nia ya dhati plz sio wale wa kutaniana na awe tayari kuingia kwenye ndoa ndani ya mda mfupi.


Awe na umri kuanzia 24-28, urefu cm 150-170, mweus au maji ya kunde, elimu kuanzia certificate and above. ANAYEJITAMBUA
Staki uchumba wa miaka 3 eti mnachumbiana.

Karibu
 

Mke unayemtaka kamtafute huko aliko hayuko humu JF. Usije kumuoa ukaanza biti za sitaki kukuona kwenye JF au Twiter. Fanya kazi kijana funga na uwe mkweli ukiwa mlevi utampata ulevini ukwa wa swala utampat akwenye swala. Wanawake wanataka mtu aliyewazidi Calibre sio shaloow maana atajiona hayupo salama atatafuta anayewza kumlinda.
 

nimekuelewa ahsante sana
 
Nimependa uliposisitiza hutaki uchumba wa miaka mitatu.

yeah honey faith mambo ya kuchumbiana miaka na miaka sio. Mke kama ni mbaya hata ukimchumbia 3 yrs atakuja badilika tu. Cha msing awe anajtambua tu na ameamua binafsi kuwa mke
 
dah! hivi ni kweli wadada wanaotaka kuolewa hawapo?
 

Wewe mwenyewe ni mume mwema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…