Mke mwema anahitajika

wewe hapo umenena mimi wangu huu mwaka wa nne eti tunachumbiana tuu nataka kumpa kibuti naona ananizingua ningeapply kwako sasa mimi nina cm 135 cv imeshachafuka tena,ok ngoja waje wengine
 
acha kumkatisha tamaa tupo sana jf na mitandao mengine sio kipimo cha kumpata mke mwema,wapo ambao hawapo mitandaoni ukiwaangalia wanawake kumbe wanawaka ambapo ukimfanya mke utajuta nakwambia vivyona wanaume kumbe wanauma
 
Aisee uchumba wa miaka minne mi siuwezi, hapo mnankuwa mnatafuta kubwagana tu. commitment ni commitment haiji kwa kuchkua mda mrefu unaweza ukamchunguza hata 6yrs bado akawa taabu kwenye ndoa. issue ni anayejitambua na aliye na commitment
 
yupo mke mwema hapa mwenye sifa unazotaka ila kaungua meno balaa
 
Mleta mada twende pm mpaka kieleweke.
Am serious
 
Mke mwema anapatikana jamiii forums na sio Facebook.whatsapp.instagram wala twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…