Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

Mke mwema anatoka kwa Bwana sasa kwanini asiwe na bikira yake?

1773590987200.jpg
 
Mkuu, amini, mke mwema hutoka kwa bwana. Usipo amini hivyo basi wewe sio muumini wa imani hiyo. Inatakiwa uamini kwa imani yako sasa. Kama imani yako inakwambia mke bora ni yule mwenye bikra sawa ishia hapo usiwahoji wenzako wanao sema vinginevyo.
Mimo nimeuliza tu kuwa huyo mke mwema anayetoka kwa Bwana ndo awe hana bikira? Huko alikotoka (kwa Bwana) nani kaitoa?
 
Labda uniambie nini maana ya mwema ndio nitoe jibu! Context zetu zisije kupishana hapa..
mke mwema anatoka kwa Bwana ina maana kwamba mke mzuri (mwenye tabia njema, upendo, heshima na hekima aliyejitunza ) ni baraka kutoka kwa Mungu, si kitu kinachopatikana tu kwa juhudi za kibinadamu pekee.

Hii ni kwamjibu wa andiko hilo.Tofauti na hapo anakuwa si mwema. Hii ni kwa uelewa wangu
 
Sawa kwahiyo ukimkuta mke wa mtu ana vigezo vyote hivyo kasoro bikra anakuwa sio mke mwema tena na anatoka kuzimu au?
 
Back
Top Bottom