mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana kutokutembea nje?

kutembea nje ndo kitu gani?
sio kutembea tu anatembeza mdudueti wakati wenzako wamelala wewe unatembeatembea nje....usiku wa manane.....
sio kutembea tu anatembeza mdudu
sio viherehere tu na visebu juuwanawke wa jf mnavihelehele imesemwa kwa wanaume tuu!
Mmhh, nilikuwa natafuta uchochoro nipite tu hapa, nielekezeni tafadhali, kulia au kushoto nakwenda kijiji cha katerero kha!
JF hamuishi vituko!!!!chumbwiiiiiiii! Or sorry kumbe huku wanaogelea wanaume tu. Sijawachungulia lakini mbioooooooo.
kama niwanaume mnamatatizo yenu, au mmekuwa maboflo!!!
mwanaume unajiita sweet! ujue unamatatizo mkuuu!
Hehehehe Henge bana.....id ni id tu haijalishi......ujue humu kuna watu wapo kikazi zaidi eeh.....wanatafuta watu wa kwenda kuwang'oa kucha na meno bila ganzi!