mke mwema(kwa wanaume tu)

mke mwema(kwa wanaume tu)

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
335
mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana kutokutembea nje?
 
True,to some extent.........but kumbuka kuna mibazazi isiyotoshelezwa na mwanamke mmoja hata awe perfect kivipi, hata kama atamkuza mkewe toka azaliwe mwenyewe, ,atatembea nje tu!!
 
mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana kutokutembea nje?

1) Kwa asilimia kama 65% hivi ni ukweli atakuwa mume mwema kwa sababu kuna kama asilimia 50% ya watu wanakutendea mema ukiwa tendea mema na vice versa. asilimia 15% ni wema tu hata uwatendee ubaya. Asilimia 35% iliyobaki ni wabaya tu hata ukikesha unawatendea mema.

2) Kwa kweli kutoka nje ni kama 20% tu ndo utafanikiwa kuwadhibiti....hao wengine yani ungekaa vijiweni men tunapokaa ukasikia opinion zao kuhusu kutoka nje ya ndoa, nadhani wanaweza hata kukuconvince sio vibaya kufanya hivyo na ukaamini kabisa....
 
Mmhh, nilikuwa natafuta uchochoro nipite tu hapa, nielekezeni tafadhali, kulia au kushoto nakwenda kijiji cha katerero kha!
 
mi kweli kwamba mwanaume anapopata mke responsible,anayejua majukumu yake na kuyafanya,kumpenda mume wake na watoto wake, na nduguze ni dawa kumfanya mume awe mume mwema na ikiwezekana kutokutembea nje?

Inawezekana hasa iwapo mwanamume nae ni responsible na ndowa yake!
 
Mmhh, nilikuwa natafuta uchochoro nipite tu hapa, nielekezeni tafadhali, kulia au kushoto nakwenda kijiji cha katerero kha!

Rudi mpaka kwenye ule uchochoro uliokuta kuna mbuzi kafungwa kamba afu kata kulia!
 
kama niwanaume mnamatatizo yenu, au mmekuwa maboflo!!!
mwanaume unajiita sweet! ujue unamatatizo mkuuu!

Hehehehe Henge bana.....id ni id tu haijalishi......ujue humu kuna watu wapo kikazi zaidi eeh.....wanatafuta watu wa kwenda kuwang'oa kucha na meno bila ganzi!
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe Henge bana.....id ni id tu haijalishi......ujue humu kuna watu wapo kikazi zaidi eeh.....wanatafuta watu wa kwenda kuwang'oa kucha na meno bila ganzi!

Nimeamini basi siifahamu vizuri JF afadhali unazidi kuniambia ilivyo!
ninamiaka kibao humu hayo mambo sikufikilia eeeti!
 
Back
Top Bottom