Mke mwema na sifa zake ni huyu hapa

Mke mwema na sifa zake ni huyu hapa

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
10 Mke mwema kweli, apatikana wapi?
Huyo ana thamani kuliko johari!

11 Mumewe humwamini kwa moyo,
kwake atapata faida daima.

12 Kamwe hamtendei mumewe mabaya,
bali humtendea mema maisha yake yote.

13 Hutafuta sufu na kitani,
na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii.

14 Yeye ni kama meli za biashara:
Huleta chakula chake kutoka mbali.

15 Huamka kabla ya mapambazuko,
akaitayarishia jamaa yake chakula,
na kuwagawia kazi watumishi wake.

16 Hufikiria kununua shamba, kisha hulinunua,
na kulima zabibu kwa faida ya jasho lake.

17 Huwa tayari kufanya kazi kwa nguvu
na kuiimarisha mikono yake.

18 Hutambua kwamba shughuli zake zina faida;
hufanya kazi hata usiku kwa mwanga wa taa yake.

19 Husokota nyuzi kwa mikono yake mwenyewe,
kwa vidole vyake mwenyewe husuka nguo zake.

20 Huufungua mkono wake kuwapa maskini,
hunyosha mkono kuwasaidia fukara.

21 Hawahofii watu wake ijapo baridi ya kipupwe,
maana kila mmoja anazo nguo za kutosha.

22 Hujitengenezea matandiko,
mavazi yake ni ya zambarau ya kitani safi.

23 Mume wake ni mtu mashuhuri barazani,
anakoshiriki vikao vya wazee wa nchi.

24 Mwanamke huyo hutengeneza nguo na kuziuza,
huwauzia wafanyabiashara mishipi.

25 Nguvu na heshima ndizo sifa zake,
hucheka afikiriapo wakati ujao.

26 Hufungua kinywa kunena kwa hekima,
huwashauri wengine kwa wema.

27 Huchunguza yote yanayofanyika nyumbani mwake,
kamwe hakai bure hata kidogo.

28 Watoto wake huamka na kumshukuru,
mumewe huimba sifa zake.

29 Husema, “Wanawake wengi wametenda mambo ya ajabu,
lakini wewe umewashinda wote.”

30 Madaha huhadaa na uzuri haufai,
bali mwanamke amchaye Mwenyezi-Mungu atasifiwa.

31 Jasho lake lastahili kulipwa,
shughuli zake hazina budi kuheshimiwa popote.

Je wewe ni mke mwema? Je mke wako ni mke mwema?
 
Siku hizi hakuna tena Mke mwema. Na kama yupo hata humu jukwaani, anyooshe mkono 🖐️ nimuone.
 
Watu walishang'atwa na nyoka hivi sasa hawataki hata kuona unyasi
 
FB_IMG_17326423908137474.jpg
 
mimi hapa ni mke mwema kutoka kwa Bwana maana Mungu alinichagua kutoka tumboni mwa mama yangu kabla ya kuzaliwa na alinitakasa. mimi ni mwanamke bora mwema mtiifu, mnyenyekevu asante Mungu kwa kuniumba mke wa thamani nakushukuru sana.:Tssk::Tssk::Tssk::Tssk:
 
Tuyajenge basi
 
Nasisitiza

23 Mume wake ni mtu mashuhuri barazani,
anakoshiriki vikao vya wazee wa nchi

Kwahivyo mume anayestahili mke wa aina hiyo ni mwenye hiyo sifa kwenye huo mstari, pamoja na sifa nyingine zilizoainishwa kwenye mistari mingine, msishikie bango upande mmoja tu na kujifanya hamyaoni maandiko yanayowahusu
 
mimi mume wangu ni mtu mashuhuri barazani, Asante Mungu kwa kunipa mume bora mwema anayenipenda
 
Inamaana hata mdogo wako huna, maana pengine atakuwa mwema kama wewe.
sina pia mimi nilivyo siwezi kufanana na mdogo wangu kila mtu Mwenyezi Mungu alivyotuumba atufanani kwa tabia hivyo omba Mungu akupe mke mwema kutoka kwake yupo wa kwako usiende kwa macho ya damu na nyama angalia rohoni
 
Back
Top Bottom