Hapa umewauliza wanawake au wanaume?Hello wanajamvini.
Tusaidianeni mawazo wakubwa,mke mwema ni yupi na anatabia gani maana wengi ndiyo wanamapenzi sio tatizo na nijitolee mfano mimi,nna nyota ya kupendwa na wanawake wengi na natamani nijue sahihi kwangu ni yupi.
Msaada wenu naombeni!
Sent using Jamii Forums mobile app